The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Kumbe City inachukiwa hivi..

Nipo kibanda umiza, walioshangilia goli ni wawili tu hapa, watu wote kimya
Hapo ni mashabiki wa livekuku, manyumbu, na cheltakooo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] lazimaa waumieeee mnooo.
 
Back
Top Bottom