Siyo kombe tu, kwenye historia ya watu waliofanikisha Treble hayupo.Cancelo alipishana na hili kombe
Ederson wanasema sio shots stopper ila Jana daaa , [emoji23] katuokoa imagine hapa [emoji23]Ederson ameonyesha heroics tulizokuwa tukizipigia kelele, katuokoa sana jana.
HAALANDNdiyo,alishajibrand.Ingekuwa ukishinda kila kitu unapata ballon d'or basi Varane angepata 2018.
Mashoga sana bahati ni yetu saivi tutashinda tena na tenaOoh kushinda UCL lzm Uwe na Dna yake[emoji23]... Ohh sijui Kushinda Ucl lzm uwe na mCroatia kwny team yako.. Mara ooh Nyie hapa ndo mwsh wenu.. Porojo za vijiweni zilikua nyng sana.
Yan watu wanaongea mpr utafikir uganga wa kienyeji... Mtu anapayuka tu anasahau kua mpr sio historia na hata mana ni historia zipo ili kuvunjwa
Utajua mwenyewe ila trebleHongereni Man City
Huu ni mwaka wenu ingawa kwa tia maji tia maji!
Klopp anachukua manne mwakani
HAALAND
top scorer EPL
Top scorer UCL
UCL winner
FA cup winner
EPL winner
Super cup (probably)
MESSI
world cup winner
ligue 1 winner.
world cup best player
Duuh wacha tusubiri ila kiuhalisia haaland kampiga gep kubwa tu messi.
Wanaangalia na personal accolades pia, sio makombe tuNdiyo,alishajibrand.Ingekuwa ukishinda kila kitu unapata ballon d'or basi Varane angepata 2018.
Muite na mama ako aje kuchangiaHiki kitimu kimeshinda Treble lakini kwenye uzi anachangia mtu mmoja. [emoji23][emoji23][emoji23]
Hakujawahi kuwa na msimu mzuri Kwa mkaa benchi.Msimu wa 2022/23 umekua mzuri sana kwa Alvarez
HallandBallond'or kati ya haaland, Alvarez na kdb Kuna mtu anachukua[emoji170][emoji170][emoji170]
Yupo assist yake against DortmundSiyo kombe tu, kwenye historia ya watu waliofanikisha Treble hayupo.
Waukize MadridHakujawahi kuwa na msimu mzuri Kwa mkaa benchi.
Kuanzia mwezi april jamaa alibadilika sana.Ederson wanasema sio shots stopper ila Jana daaa , [emoji23] katuokoa imagine hapa [emoji23]View attachment 2653413
Hongereni Man City
Huu ni mwaka wenu ingawa kwa tia maji tia maji!
Klopp anachukua manne mwakani
Msugua benchi kwa level za kina kalvin, laporte ndio ntakuelewa.Hakujawahi kuwa na msimu mzuri Kwa mkaa benchi.
Huyo jamaa kutwa kucha kutusagia tu kunguni.Wewe huna unachojua kwenye mpira. Umekuwa mtu wa ramli tu. Wewe unafaa kuwa mganga wa kienyeji tu [emoji23][emoji23][emoji23]