The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Ederson ameonyesha heroics tulizokuwa tukizipigia kelele, katuokoa sana jana.
Ederson wanasema sio shots stopper ila Jana daaa , [emoji23] katuokoa imagine hapa [emoji23]
FB_IMG_16864393873288574.jpg
 
Ndiyo,alishajibrand.Ingekuwa ukishinda kila kitu unapata ballon d'or basi Varane angepata 2018.
HAALAND
top scorer EPL
Top scorer UCL
UCL winner
FA cup winner
EPL winner
Super cup (probably)



MESSI
world cup winner
ligue 1 winner.
world cup best player

Duuh wacha tusubiri ila kiuhalisia haaland kampiga gep kubwa tu messi.
 
Ooh kushinda UCL lzm Uwe na Dna yake[emoji23]... Ohh sijui Kushinda Ucl lzm uwe na mCroatia kwny team yako.. Mara ooh Nyie hapa ndo mwsh wenu.. Porojo za vijiweni zilikua nyng sana.

Yan watu wanaongea mpr utafikir uganga wa kienyeji... Mtu anapayuka tu anasahau kua mpr sio historia na hata mana ni historia zipo ili kuvunjwa
Mashoga sana bahati ni yetu saivi tutashinda tena na tena
 
HAALAND
top scorer EPL
Top scorer UCL
UCL winner
FA cup winner
EPL winner
Super cup (probably)



MESSI
world cup winner
ligue 1 winner.
world cup best player

Duuh wacha tusubiri ila kiuhalisia haaland kampiga gep kubwa tu messi.

Ndiyo,alishajibrand.Ingekuwa ukishinda kila kitu unapata ballon d'or basi Varane angepata 2018.
Wanaangalia na personal accolades pia, sio makombe tu
 
Hongereni Man City
Huu ni mwaka wenu ingawa kwa tia maji tia maji!
Klopp anachukua manne mwakani

Wewe huna unachojua kwenye mpira. Umekuwa mtu wa ramli tu. Wewe unafaa kuwa mganga wa kienyeji tu [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hakujawahi kuwa na msimu mzuri Kwa mkaa benchi.
Msugua benchi kwa level za kina kalvin, laporte ndio ntakuelewa.

Pep amejitahidi sana kumpa dakika alvarez pamoja na kwamba anashindana na haaland na amefunga magoli 17 msimu huu, na kapata dakika kwenye kila kombe tulilobeba tofauti na kina kalvin.

Pale argentina alvarez alikua main starter kuanzia game ya pili ya makundi mpaka final, kawa mfungaji bora namba 3 nyuma ya mbappe na messi.

Amekua na msimu mzuri.
 
Jana viunga vya manchester ilikua ni balaa tupu, fataki za kutosha, bluu kila mahali
 
Back
Top Bottom