The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Foden kama midifilder anahitaji kuwa mzuri kwenye ...

Kupiga cross ...

Kupiga mipira iliyokufa aisee ,sio mzuri kabisa foden ,baada ya kdb kutoka alipiga set piece 2 ,daaa mipira ilikuwa ya hovyo kabisa ,Kuna namna kdb anarisha mpira katikati either wajifunge au sisi tufunge ....foden hawezi ...

Penetration pass ,hiki kitu foden Bado hajakamilika vzuri,japo aliachia bonge la pass game ya Madrid kumpa Alvarez kufunga , foden anapenda kuturn na kurun na mpira kwenda kufunga ,ila kupiga pass ya kunyoooka Kwa striker Bado ....

Alvarez kivuli cha halaand Bado kinammeza ....
 
Philips sizani kama atakuwa anaanza
 
Erling Haaland and Lionel Messi are the only players to win UCL golden boot under the age of 23.
 
Ila ata kufunga pia bado hajui vizuri
 
Erling Haaland's goal against Borrusia Dortmund has been named UEFA goal of the season.
 
Watu wanalalamika mara oh City inatumia pesa nying ndio sababu wanachukua makombe, tangu pep kaja city, zimetumika £1.074 billion kwenye usajili, nyumbu toka hiyo 2016 wametumia £1.077 billion kwenye usajili ila hata top 4 tu ni mbinde.

Pesa bila akili ni mzigo.
 
MAN CITY

Transfer expenditure since 2016
£1.074 billion

Archievement

5 EPL tittles
4 carabao cups
2 FA cups
1 champions league tittle
2 community shields


MAN UTD

£1.077 billion spent since 2016

Archievement

1 Europa league tittle
2 carabao cups
4 times champions league qualifiers.

Pesa tembo akili sisimizi [emoji23]
 
Kelele zote za nyumbu
FA hana
EPL hana
UEFA kombe la timu kubwa hana


Ana kikombe cha matopeni league
Na lile likoroboi la kibatari😂💔
 
When asked why they rejected European clubs to move Asia/USA:

[emoji841] Ronaldo [emoji2788] "I've come to Saudi Arabia for a new challenge."

[emoji841] Benzema [emoji2788] "I always wanted to play in a Muslim country."

[emoji841] Messi [emoji2788] "Want my family to be happy."

[emoji841]Oscar [emoji2788] "Every football player who works, wants to earn money to help their families."

[emoji841] Ighalo [emoji2788] "We are playing because of money. 10 million trophies cannot buy you food in the supermarket."
 
Game kadhaa tunachukua yote hayaaa ....

Kabati linajaa makombe tu [emoji23][emoji23][emoji170][emoji170][emoji170]
 
2024/2025 mkataba wa pep unaisha ...

Je ataongeza au ataondoka ?

Na kama pep akiamua kuondoka Kwa heshima hivo ,je nan atakuwa mbadalaaa [emoji848]
 
Wakuu pep lazima anaondoka mkataba ukiisha ...

Ndio hivo ...

[emoji2424] Pep Guardiola: "I think the job is done. I don't want to compare myself much less with Leo Messi, but there is an image of him in the World Cup that 'that's it, that's it'. No? Well, in this club I have to know that he is already there.

This #UCL already gives meaning to the five Premiers that we won. But it is also true that we need to go home, disconnect more than a little and knowing all of us, when the adrenaline starts again, we will plug in again. But now I'm not thinking further!"

[via: Diario Olé]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…