bright pledge
Senior Member
- Feb 12, 2021
- 139
- 274
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuna mashabiki wachache na haibadilishi fact kwamba sisi ndio mabingwa wa ulaya, chukua hata conference kwanza ndio uje tuongee lugha moja.Tunajaribu tu kukumbushana brother kuwa mwarabu ameweza kununua mataji lakini kwenye sekta ya mashabiki ameshindwa, uzuri kuna takwimu zinaonesha kuwa timu haiwezi kujaza uwanja , Westham & Hertha berlin wapo juu kwenye idara ya mafans. Something oil money cant buy.View attachment 2654039
Ni mwendo wa picha tu, hatubishani na walala hoi.Ngoja niendelee kuwapostia mapichapicha Hadi uzi wauone mchungu
Ona huyu nae [emoji1787]Hiyo ni kawaida City ni plastic club, hata uingereza uwanja huwa haujai.
Nimeumia sana , kumbe wewe ni mancity, mi nikajua mliva au muaseno au mchelisii hivi [emoji28]Wee hawa inter Milan wanaweza chomoa, sio wa kuwaamini kabisaa.
Thubutuuuuuuuuu!! Mie ni Citizen wa Manchester [emoji170][emoji170]Nimeumia sana , kumbe wewe ni mancity, mi nikajua mliva au muaseno au mchelisii hivi [emoji28]
Shabiki wa kitimu kidogo kama arsenal anakuja kutuletea taarabu za mashabiki [emoji1787]Tuna mashabiki wachache na haibadilishi fact kwamba sisi ndio mabingwa wa ulaya, chukua hata conference kwanza ndio uje tuongee lugha moja.
.Nimeumia sana , kumbe wewe ni mancity, mi nikajua mliva au muaseno au mchelisii hivi [emoji28]