The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

FB_IMG_1686441254577.jpg
 
Tunajaribu tu kukumbushana brother kuwa mwarabu ameweza kununua mataji lakini kwenye sekta ya mashabiki ameshindwa, uzuri kuna takwimu zinaonesha kuwa timu haiwezi kujaza uwanja , Westham & Hertha berlin wapo juu kwenye idara ya mafans. Something oil money cant buy.View attachment 2654039
Tuna mashabiki wachache na haibadilishi fact kwamba sisi ndio mabingwa wa ulaya, chukua hata conference kwanza ndio uje tuongee lugha moja.
 
Hiyo ni kawaida City ni plastic club, hata uingereza uwanja huwa haujai.
Ona huyu nae [emoji1787]
Plastic club ina uefa, wewe weka kombe lako la ulaya ulilobeba hapa tuone.

Toka umezaliwa mpaka leo mnabaki kunusa makwapa ya wengine tu, mpaka west ham ana conference, halafu unakuja kuimba taarabu za plastic club humu [emoji1787]
 
Tuna mashabiki wachache na haibadilishi fact kwamba sisi ndio mabingwa wa ulaya, chukua hata conference kwanza ndio uje tuongee lugha moja.
Shabiki wa kitimu kidogo kama arsenal anakuja kutuletea taarabu za mashabiki [emoji1787]

Timu haina kikombe chochote cha ulaya halafu anatulingishia mashabiki [emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom