The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Pep Guardiola becomes the first manager to win two trebles with two different clubs [emoji471][emoji471][emoji471]
FB_IMG_16864902186015048.jpg
 
.Pep Guardiola: "Real Madrid, don't get comfortable, we're 13 UCLs away, but we're coming for you."
FB_IMG_16864903914782706.jpg
 
Man city mashabiki wa kufunga barabara watatoa wapi? ebu tuweni serious basi, kuna vitu oil money can't buy[emoji1787][emoji1787]
kwani hiyo parade inafanyikia bongo brother?
Hiyo sijaandika kwa hulka za kishabiki, ni taarifa official kabisa na list ya barabara zitakazofungwa imeshawekwa wazi, unapochukulia fanbase ya humu jf unafikiri na UK ni hivyohivyo?

Site; Manchester evening news.
 
Hiyo ni kawaida City ni plastic club, hata uingereza uwanja huwa haujai.
 
[emoji1787][emoji1787] kwaiyo sio uefa tena? mnaanza kuhamisha magoli.
Tunajaribu tu kukumbushana brother kuwa mwarabu ameweza kununua mataji lakini kwenye sekta ya mashabiki ameshindwa, uzuri kuna takwimu zinaonesha kuwa timu haiwezi kujaza uwanja , Westham & Hertha berlin wapo juu kwenye idara ya mafans. Something oil money cant buy.
IMG_20230524_232840.jpg
 
Back
Top Bottom