It's all about squad depth, hatuwezi kuwategemea stones-rodri msimu mzima mkuu.Ili stones acheze wapi Sasa
Haya mambo huyakuti na wala hutaweza kuyakuta Real Madrid ndio maana wakina Modrick, Benzema, Ronaldo na wengineo walishinda back to back hiyo UEFA wakiwa na Jezi Yao nyeupe.Kuna watu wamefika ukomo psychologically kuipambania hii team and we need new key players ,pep anatakiwa kucheza na psychology ya wachezaji mapema ....
DNA na historia ya club ndio ilifanya washinde mzee ....Haya mambo huyakuti na wala hutaweza kuyakuta Real Madrid ndio maana wakina Modrick, Benzema, Ronaldo na wengineo walishinda back to back hiyo UEFA wakiwa na Jezi Yao nyeupe.
Rice anahitaji £100milion ,....kama unavojua wachezaji wa kiingereza wanavokuwa overhyped ....Naskia dau la arsenal kwa rice limekataliwa, tunaweza kuhijack deal.
Wale chelsea wamechanganyikiwa tu, wanataka kupunguza nusu hasara ya msimu ulioisha na dirisha dogo ndo maana wanalazimisha high price kwa wachezaji wale walioshindwa kuonyesha kiwango bora kwenye timu yaoMtu kama mount Chelsea wanataka kumuuza £ 60 million [emoji23]
Kai Madrid wamemkataa ,Chelsea wanataka £70milliom [emoji23]
Wachezaji siku hizi wanagharama hatari ,harafu wakaida sanaa
Kafunga goli ....Kina haaland jana wamepigwa comeback [emoji23]
Rodri namuona akiiendelea kukiwasha hata next season ...
Sasa hapa tutakuwa na DM watatu ( kovacic,rodri , Phillips)[emoji599] Man City aim to complete the £35M signing of Mateo Kovacic before the end of June. The 29-year-old is ready to accept a contract offer from Man City
[via NizaarKinsella] [emoji281]