bakundande jr
JF-Expert Member
- Oct 22, 2021
- 507
- 672
Ratiba kamili ya mabingwa watetezi iko hapaView attachment 2658354View attachment 2658355View attachment 2658357
View attachment 2658356
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu usikariri kwamba mchezaji akishabeba mataji anabweteka.Saizi pep hana cha kuwambia Tena wachezaji kwenye dressing room ,maana watakuwa na medali ya kila kombe ,...tunahitaji damu changa nyingine mpya zitakazo pambania timu ...
Kuna wachezaji nawaona kabisa next season kiwango kikiwa chini ....
Huo ndio ukweli mzee unashindwa kuona hata body language ya players ?Mkuu usikariri kwamba mchezaji akishabeba mataji anabweteka.
Na usikariri pia kwamba UCL ndio ilikua only motivation kwa wachezaji na hata kama ndio ilikua only motivation, haimanishi kwamba kuibeba ndani ya msimu mmoja ndio kunaua ari ya kupambania mengine mengi zaidi.
Ingekua hivyo, hakuna timu ambayo ingekuwa na consistency ndani ya misimu zaidi ya miwili bila kufumua timu kila dirisha la usajili kwa kigezo cha kuleta damu mpya kwa ajili kulinda fighting spirit.
Mchezaji kushinda medali haimaanishi atashuka kiwango msimu unaofuata (atakosa fighting spirit)
https://jamii.app/JFUserGuide youNyie kenge wa kiarabu yani mna kombe 1 tu la Uefa hakika mna laana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nyie kenge wa kiarabu yani mna kombe 1 tu la Uefa hakika mna laana
Mkuu,Mpaka Sasa Kuna asilimia za bernado,gundo ,Mahrez kuondoka ...
Tena 80% ...
Kikosi chetu kikubwa lilikuwa pale to archieve CL ,and the target is archived ,we need new player to fight ...na kwenye football ndio ilivo ,nashangaa watu Bado mnapigia hesabu kina kdb ,gundo ,bernado kuwa na form ile ile next season [emoji23] good player but fighting spirit tegemea kudecline.
[emoji23][emoji23]Perfomance ya mchezaji inakuwa affected na umri pamoja na mahusiano yake na club, kubeba makombe tunadanganyana bro.
Unajua maana ya new challenge...Mkuu,
Unamaanisha kwamba wachezaji wa city washakua programmed kupambania UCL pekee baada ya hapo hawana cha kupambania tena? Hebu tuache utani bro
Points zako zimebase hapa-
1. Umri (Kdb,Gundo,Walker,Mahrez)
2.kutaka challenge mpya (Bernado,Mahrez,Laporte)
Na ndipo hapo umuhimu wa usajili unapokuja, sabab kama ni makombe, Kovacic tunayetaka kumleta ashashinda UCL, club WC, super cup n.k,
Kimmich tunamtaka, ashashinda kila kombe ngazi ya club.
Perfomance ya mchezaji inakuwa affected na umri pamoja na mahusiano yake na club, kubeba makombe tunadanganyana bro.
[emoji1787][emoji1787] haya banaUnajua maana ya new challenge...
Kovacic Yuko na CL lakin hachezi vzuri Chelsea so , sometimes wachezaji wanahitaji new environment kuwa better zaidii ...
Sio kwamba kina gundo , bernado,viwango vinashuka hapana ni psychologically issue mzee ya kupambana ndio inabadilika ...
Huyo c n DM we have rodri plus kelvinNaskia dau la arsenal kwa rice limekataliwa, tunaweza kuhijack deal.
Kalvin kuna team zinamtaka, halafu sasa hivi tunacheza na double pivot pale kati kwaiyo kumleta declan sio shida.Huyo c n DM we have rodri plus kelvin
Ili stones acheze wapi SasaKalvin kuna team zinamtaka, halafu sasa hivi tunacheza na double pivot pale kati kwaiyo kumleta declan sio shida.