The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Ratiba kamili ya mabingwa watetezi iko hapaView attachment 2658354View attachment 2658355View attachment 2658357
FB_IMG_1686820555322.jpg
View attachment 2658356
 
Saizi pep hana cha kuwambia Tena wachezaji kwenye dressing room ,maana watakuwa na medali ya kila kombe ,...tunahitaji damu changa nyingine mpya zitakazo pambania timu ...

Kuna wachezaji nawaona kabisa next season kiwango kikiwa chini ....
Mkuu usikariri kwamba mchezaji akishabeba mataji anabweteka.

Na usikariri pia kwamba UCL ndio ilikua only motivation kwa wachezaji na hata kama ndio ilikua only motivation, haimanishi kwamba kuibeba ndani ya msimu mmoja ndio kunaua ari ya kupambania mengine mengi zaidi.

Ingekua hivyo, hakuna timu ambayo ingekuwa na consistency ndani ya misimu zaidi ya miwili bila kufumua timu kila dirisha la usajili kwa kigezo cha kuleta damu mpya kwa ajili kulinda fighting spirit.

Mchezaji kushinda medali haimaanishi atashuka kiwango msimu unaofuata (atakosa fighting spirit)
 
Huo ndio ukweli mzee unashindwa kuona hata body language ya players ?

Kuna wachezaji hutawaona kwenye kiwango kama cha mawanzo trust me ,na wengine wanaondoka kutafuta changamoto ,na pep anakazi kubwa mno ya kuwarudisha ....

Liverpool ilikuwa kwenye quadruple run ,next season uliwaona ? Sis kilichokuwa kinatupush kuwa kwenye form it's CL bro ,na pep ndio ilikuwa inamfanya asilale usiku mchana ,so tegemea relaxation kama hakuna new player wenye morali wa kuipush watakaoingia ... ...pep anatakiwa kucheza na mindset za wachezaji mapema ....Kuna wachezaji wakishachukua kikombeee oooh no more ....that is football

Walker ,bernado ,gundo ,Mahrez ...Hawa wote ni wachezaji ambao sintofahamu kama tunaweza kuwa nao wote au laaah next season ...

Hiki kizazi cha kina Kdb ,gundo ,bernado ,pindi wakiwa na medal ya CL,PL ,FA ,carabao ,super cup ,club world cup ....huna cha kuwambia Tena kwenye dressing room kipyaaa .....

Mara ya kwanza pep akiwa dressing room,akiwambia tu ,you don't have CL you are no longer big player ,you have to win it ,,hayo ndio maneno yalikuwa yanawapa energy [emoji23]
Baada ya hapo ukiona team inashinda ndio swala la club mentality and history inahusika ...!!
 
Mpaka Sasa Kuna asilimia za bernado,gundo ,Mahrez kuondoka ...

Tena 80% ...

Harafu unasema team haitashuka kiwango ...

Kikosi chetu kikubwa lilikuwa pale to archieve CL ,and the target is archived ,we need new player to fight ...na kwenye football ndio ilivo ,nashangaa watu Bado mnapigia hesabu kina kdb ,gundo ,bernado kuwa na form ile ile next season [emoji23] good player but fighting spirit tegemea kudecline ...new challenge is important kuwabusiti ......
 
Wachezaji wafuatao wanategemea kuondoka kabla ya msimu kuanza ...

Mahrez
Laporte
Gundo
Bernado
Walker ....

Mpaka Sasa deal ambalo linakaribiaa kutiki mchezaji kuingia ni kovacic tu ...
 
[emoji599][emoji838] Manchester City will compete in a seven-team tournament in Saudi Arabia in December, looking to win the FIFA Club World Cup for the first time in the club’s history.

[emoji1210] Al-Ittihad
[emoji1166] Club León
[emoji1093] Al Ahly SC
[emoji1181] Auckland City
[emoji1022]󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 Manchester City
[emoji627] Urawa Red Diamonds
[emoji289] TBC from CONMEBOL

The tournament will take place between December 12th and December 20th, with City entering the competition at the semi-final stages.
 
Mpaka Sasa Kuna asilimia za bernado,gundo ,Mahrez kuondoka ...

Tena 80% ...

Kikosi chetu kikubwa lilikuwa pale to archieve CL ,and the target is archived ,we need new player to fight ...na kwenye football ndio ilivo ,nashangaa watu Bado mnapigia hesabu kina kdb ,gundo ,bernado kuwa na form ile ile next season [emoji23] good player but fighting spirit tegemea kudecline.
Mkuu,
Unamaanisha kwamba wachezaji wa city washakua programmed kupambania UCL pekee baada ya hapo hawana cha kupambania tena? Hebu tuache utani bro

Points zako zimebase hapa-

1. Umri (Kdb,Gundo,Walker,Mahrez)

2.kutaka challenge mpya (Bernado,Mahrez,Laporte)

Na ndipo hapo umuhimu wa usajili unapokuja, sabab kama ni makombe, Kovacic tunayetaka kumleta ashashinda UCL, club WC, super cup n.k,
Kimmich tunamtaka, ashashinda kila kombe ngazi ya club.

Perfomance ya mchezaji inakuwa affected na umri pamoja na mahusiano yake na club, kubeba makombe tunadanganyana bro.
 
Unajua maana ya new challenge...

Kovacic Yuko na CL ,Club world cup ,super cup ,lakin yote hayo kashibda na Chelsea ,unajua kwanini anataka kuondoka ? , sometimes wachezaji wanahitaji new environment kuwa better zaidii ...

Sio kwamba kina gundo , bernado,viwango vinashuka hapana ni psychologically issue mzee ya kupambana ndio inabadilika ...

Ndio maana nikasema , tegemea wachezaji wetu kibao psychology ya kupambana ikipungua ,tunahitaji new challenge watakao kuwa wanapush team ...

Na kuhusu CL Hilo liko wazi kuanzia gym , hospital,chooni , canteen bango ilikuwa "to win CL " kila mtu lilikuwa linamtawala kichwani kuanzia pep mpaka walinzi wa pale njie kama hujui ...

Kuna watu wamefika ukomo psychologically kuipambania hii team and we need new key players ,pep anatakiwa kucheza na psychology ya wachezaji mapema ....

Liverpool ilikuwa pale sio Kwa bahati mbaya ,klopp alikosa maneno mapya ya kuwambia kina TAA ,Salah ,firmino ,fabihno ,milner ,ndio maana unaona pale ,kama angemaliza nao mapema ,bench likawa linawahusu means wangekuwa wanarudi wanajua kabisa no zao zinachukuliwa ...

Chukulia tuendelee kumtegemea kdb kama main player wetu ambaye atatuokoa kwenye game , mzeee hata body language huioni kabisa kama kdb anahitaji new player wa kumchallenge ...

Narudia team new signings zinahitajika haraka mnooo kabla hatujaanza msimu vibaya mnooo [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Unajua maana ya new challenge...

Kovacic Yuko na CL lakin hachezi vzuri Chelsea so , sometimes wachezaji wanahitaji new environment kuwa better zaidii ...

Sio kwamba kina gundo , bernado,viwango vinashuka hapana ni psychologically issue mzee ya kupambana ndio inabadilika ...
[emoji1787][emoji1787] haya bana
 
Back
Top Bottom