Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,361
- 21,680
Haaland kuchukua itakua ngumu aisee sababu mwisho wa siku kinachoamua mshindi ni kura.Haaland ataweza kuvuka kivuli cha mess ,hii world cup inaweza kumfanya mess akachukua ballond'or View attachment 2661427
Mpaka andunje atoweke kabisa kwenye soka la ulaya ndio vijana wetu watachukua ballond'or [emoji23][emoji23]Haaland kuchukua itakua ngumu aisee sababu mwisho wa siku kinachoamua mshindi ni kura.
Hapo kura za Messi zipo fixed sababu ana watu wake loyal. Pia Haaland, Mbappe na De Bruyne watagawana kura. Haaland kuchukua tuzo mbele ya Messi itakua muujiza acha tuone itavokua.