Mwaka huu tumewanyoosha haswa.View attachment 2663510
Man City had a MOTM winner in every game of the champions league this season. Absolute dominance.
Kalvin kasema hana mpango wa kuondoka, hii inaweza kutupunguzia speed kwa rice, sidhani kama tuta hijack hilo deal.Dau la pili la arsenal kwa Declan Rice limekataliwa.
Kuna ripoti zinasema wiki hii tunaingia kwenye race.
Sidhani kama tutawavamia arsenal, siku hizi hatusajili kwa fujo.Kalvin kasema hana mpango wa kuondoka, hii inaweza kutupunguzia speed kwa rice, sidhani kama tuta hijack hilo deal.
Sasa tunaenda kuwa na DM watatu ....DEAL DONE
Man city's £30 milion package for kovacic has been accepted by chelsea, paper works and medical procedures to follow.
(Fabrizio Romano)
(Sports mole)
(ESPN.co.uk)
Kovacic anacheza namba ya Rodri?Sasa tunaenda kuwa na DM watatu ....
Kovacic
Rodri
Phillips
Kwa moto wa rodri naona kovacic akikaa bench ...
Phillips nae ndio msimu wake wa kuwa moto ,ila anakazi kubwa ya kupigania namba ...
Kovacic si MD au ni AMD ?Kovacic anacheza namba ya Rodri?
Huyo ngolo Kante kashaenda saudia huko[emoji23] naona mmeamua kuachana nae ....
Mkuu, kova sio DM, yule ni Attacking midfielder.Sasa tunaenda kuwa na DM watatu ....
Kovacic
Rodri
Phillips
Kwa moto wa rodri naona kovacic akikaa bench ...
Phillips nae ndio msimu wake wa kuwa moto ,ila anakazi kubwa ya kupigania namba ...
Mkuu kova sio pure DM, mechi za chelsea ulikua humuangalii?Gundo anaondoka , kovacic anaweza kucheza nafasi ya gundo ,binafsi sioni aisee .....
Kovacic namuona kama pure defensive midifilder,wakati gundo ni box to box midifilder ( defensive & offensive)...
Nitakuwa wa mwisho kuamin kovacic anaweza kucheza kama ATM ,hata pale Chelsea kina mount ,gallagher ndio walikuwa wanacheza hio nafasi ...Mkuu, kova sio DM, yule ni Attacking midfielder.
Tulikua tunamfukuzia ili kuja kuziba pengo la Gundo ambae mpaka sasa haeleweki future yake.
Chelsea kovacic alikuwa anacheza AMD ? chelsea ya Nan TT au ...Mkuu kova sio pure DM, mechi za chelsea ulikua humuangalii?
Naona ka like kwenye post ya kovacic..Hapa attention sasa inahamia kwa Gvardiol (gvardiola), personal terms are about to be agreed.
Kova kaenda chelsea kipindi cha Mauricio Sarri, line up yake pale kati ilikua hii.Chelsea kovacic alikuwa anacheza AMD ? chelsea ya Nan TT au ...
Kante ,joghno na kovacic wote waanze Kwa pamoja,hio ni defensive minded kabisa , [emoji3]...Kova kaenda chelsea kipindi cha Mauricio Sarri, line up yake pale kati ilikua hii.
Kante___Jorginho___Kova
Kaja lampard, the same basic line up.
Kaja Tuchel, The same.
Hata pale croatia, DM ni Brozovic.
Au kwenye mfumo 4-3-3 au 3-4-3, wale wa kati wote wanakua DM's kwa upande wako?