The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Dau la pili la arsenal kwa Declan Rice limekataliwa.

Kuna ripoti zinasema wiki hii tunaingia kwenye race.
 
[emoji599][emoji344] | Pep Guardiola on João Cancelo: “The reality was that we decided that he had to leave and we didn't care where he was going, even if he wanted to go to United, which is our rival.”
FB_IMG_16873192329961700.jpg
 
Dau la pili la arsenal kwa Declan Rice limekataliwa.

Kuna ripoti zinasema wiki hii tunaingia kwenye race.
Kalvin kasema hana mpango wa kuondoka, hii inaweza kutupunguzia speed kwa rice, sidhani kama tuta hijack hilo deal.
 
Kalvin kasema hana mpango wa kuondoka, hii inaweza kutupunguzia speed kwa rice, sidhani kama tuta hijack hilo deal.
Sidhani kama tutawavamia arsenal, siku hizi hatusajili kwa fujo.
 
DEAL DONE

Man city's £30 million package for Mateo Kovacic has been accepted by Chelsea, paper works and medical procedures to follow.

(Fabrizio Romano)
(Sports mole)
(ESPN.co.uk)
 
DEAL DONE

Man city's £30 milion package for kovacic has been accepted by chelsea, paper works and medical procedures to follow.

(Fabrizio Romano)
(Sports mole)
(ESPN.co.uk)
Sasa tunaenda kuwa na DM watatu ....

Kovacic

Rodri

Phillips

Kwa moto wa rodri naona kovacic akikaa bench ...

Phillips nae ndio msimu wake wa kuwa moto ,ila anakazi kubwa ya kupigania namba ...
 
Sasa tunaenda kuwa na DM watatu ....

Kovacic

Rodri

Phillips

Kwa moto wa rodri naona kovacic akikaa bench ...

Phillips nae ndio msimu wake wa kuwa moto ,ila anakazi kubwa ya kupigania namba ...
Kovacic anacheza namba ya Rodri?
 
Gundo anaondoka , kovacic anaweza kucheza nafasi ya gundo ,binafsi sioni aisee .....

Kovacic namuona kama pure defensive midifilder,wakati gundo ni box to box midifilder ( defensive & offensive)...
 
Sasa tunaenda kuwa na DM watatu ....

Kovacic

Rodri

Phillips

Kwa moto wa rodri naona kovacic akikaa bench ...

Phillips nae ndio msimu wake wa kuwa moto ,ila anakazi kubwa ya kupigania namba ...
Mkuu, kova sio DM, yule ni Attacking midfielder.

Tulikua tunamfukuzia ili kuja kuziba pengo la Gundo ambae mpaka sasa haeleweki future yake.
 
Gundo anaondoka , kovacic anaweza kucheza nafasi ya gundo ,binafsi sioni aisee .....

Kovacic namuona kama pure defensive midifilder,wakati gundo ni box to box midifilder ( defensive & offensive)...
Mkuu kova sio pure DM, mechi za chelsea ulikua humuangalii?
 
Mkuu, kova sio DM, yule ni Attacking midfielder.

Tulikua tunamfukuzia ili kuja kuziba pengo la Gundo ambae mpaka sasa haeleweki future yake.
Nitakuwa wa mwisho kuamin kovacic anaweza kucheza kama ATM ,hata pale Chelsea kina mount ,gallagher ndio walikuwa wanacheza hio nafasi ...

Kovacic ni pure DM ,kufanya kazi ya gundo ni kumtafutia lawana ..
 
Hapa attention sasa inahamia kwa Gvardiol (gvardiola), personal terms are about to be agreed.
 
Chelsea kovacic alikuwa anacheza AMD ? chelsea ya Nan TT au ...
Kova kaenda chelsea kipindi cha Mauricio Sarri, line up yake pale kati ilikua hii.

Kante___Jorginho___Kova

Kaja lampard, the same basic line up.

Kaja Tuchel, The same.

Hata pale croatia, DM ni Brozovic.

Au kwenye mfumo 4-3-3 au 3-4-3, wale wa kati wote wanakua DM's kwa upande wako?
 
Kante ,joghno na kovacic wote waanze Kwa pamoja,hio ni defensive minded kabisa , [emoji3]...

Huwezi kuwaacha kina mount viungo washambuliji ukaweka wote viungo wakabaji ...

Sijui maana Kuna msimu chelsea iligeuka kuwa timu ya kupark bus ,

Joghno , kovacic,Kante Hawa ni DM( viungo wazuiaji tu kama kina Partey ,rodri ,rice ....

Kuwalazimisha wawe wanashambulia ni kutafuta lawama ,sio kwamba hawawezi kushambulia ...

Hawa ndio wanawezafanya kazi kama ya gundo

Ordegard,mount ,Bruno Fernandes, ....Hawa unaona kabisa ni viungo washambuliji
 
Back
Top Bottom