The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Duh,
 
Mara nyingi chelsea viungo wa kati walikuwa wanacheza wawili tu sio watatu mzee ni jorginho na kova au jorginho na kante

Tegemea kova atacheza na Rodri pale city
 
Mara nyingi chelsea viungo wa kati walikuwa wanacheza wawili tu sio watatu mzee ni jorginho na kova au jorginho na kante

Tegemea kova atacheza na Rodri pale city
Mount ---kante --gallagher labda hivi ,,,

Mount --+kovacic ---kante ,
,,au hivi napenyewe hapa ucheze na false 9 Kai harvet

Joghno ---kovacic --mount

Labda hizo formation kwenye midfielders
 
Mara nyingi chelsea viungo wa kati walikuwa wanacheza wawili tu sio watatu mzee ni jorginho na kova au jorginho na kante

Tegemea kova atacheza na Rodri pale city
Ederson

Ake --------dias --------akanji

Stone----rodri

Kdb ----kovacic ----bernado silva

Halaand

Kwa mfumo wa pep inatakiwa kovacic awe anacheze hio position ,!!..
 
Mara nyingi chelsea viungo wa kati walikuwa wanacheza wawili tu sio watatu mzee ni jorginho na kova au jorginho na kante

Tegemea kova atacheza na Rodri pale city
Kwamba double pivot ya kova na rodri? stones benchi?

Nani ata patner na kdb?
 
Ederson

Ake --------dias --------akanji

Stone----rodri

Kdb ----kovacic ----bernado silva

Halaand

Kwa mfumo wa pep inatakiwa kovacic awe anacheze hio position ,!!..
Pep ni Genius hapo kapata mchazaji ambaye ni Press resistant hautamuona stone katikati akipokea Mali jukumu hilo atapewa kova,na foden anakwenda kucheza attacking midfield.Pep ame relax asubiri muda wa kutoa hukumu.Kazi tunayo.
 
Inaonekana hakuna plan ya kuleta full back, pep atastick na approach yake ile ile ya kuanza na pure center backs nyuma.

Ndio maana tunataka kumuongeza tena Josko Gvardiol.
 
Kuna uwezekano sasa rasmi tukaingia kwenye deal la Rice baada ya gundo kuondoka.

Kalvin phillips anaweza kutumika kwenye swap deal.
 
Man city are expected to submitt an opening offer to West Ham for Declan Rice today.

(David Ornstein)
(The Telegraph)
 
Kwa Rice tungeingia mazima, Arsenal wanajipanga kupeleka dau la tatu ambalo probably itakua full package this time.
 
According to the reports from Nathan Gissing, City's proposal to West ham is to pay £75m plus £15m ads ons over two instalments in 2 years.
 
Wana Arsenal wanajipa matumaini kwamba Rice anaitaka Arsenal.

Fabrizio Romano "Rice is open to any move"

Imeisha iyo.
 
According to the reports from Nathan Gissing, City's proposal to West ham is to pay £75m plus £15m ads ons over two instalments in 2 years.
Hivi tunamhitaji Sana Rice mpaka tutoe hizo pesa zote wakuu ...

Au ndio bench litamhusu ,maana rice anacheza kama defensive midfielders kama rodri yale yale ....labda kama pep atamtransform ...
 
Decline rice hio ni £100m nyingine inaenda kukaa bench ..

Next season tutakuwa na ukame wa magoli sio Kwa Hawa viungo wakabaji tunaosajili [emoji23]...imagine kdb akapata injury ,ni kiungo gan mnyumbulifu atakayekuwa anashambulia kutokea katikati ,maana gundo &kdb ndio walikuwa machine zetu ....

Sisi tunahitaji kiungo mshambuliaji kama Jamal Musiala, ordegard,Bruno Fernandes, ambao kdb na bernado silva wakiwa injury wanaweza kuingia na kudeliver ....
 
Hivi tunamhitaji Sana Rice mpaka tutoe hizo pesa zote wakuu ...

Au ndio bench litamhusu ,maana rice anacheza kama defensive midfielders kama rodri yale yale ....labda kama pep atamtransform ...
Double pivot iyo, RODRICE.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…