Kante ,joghno na kovacic wote waanze Kwa pamoja,hio ni defensive minded kabisa , [emoji3]...
Huwezi kuwaacha kina mount viungo washambuliji ukaweka wote viungo wakabaji ...
Sijui maana Kuna msimu chelsea iligeuka kuwa timu ya kupark bus ,
Joghno , kovacic,Kante Hawa ni DM( viungo wazuiaji tu kama kina Partey ,rodri ,rice ....
Kuwalazimisha wawe wanashambulia ni kutafuta lawama ,sio kwamba hawawezi kushambulia ...
Hawa ndio wanawezafanya kazi kama ya gundo
Ordegard,mount ,Bruno Fernandes, ....Hawa unaona kabisa ni viungo washambuliji