Franklin1902
JF-Expert Member
- Aug 1, 2018
- 2,241
- 4,876
[emoji23][emoji23][emoji23]Kuna jamaa anaitwa Mohamed Salah kasaini mkataba uko Saudi Arabia, watu tumepigwa na butwaa, kuja kufatilia woiii!
Ni msela flani tu sjui wa wapi uko.
Arsenal wao waga kwenye usajili wanaonewa sana, apa napo tunaweza kuwapiga changa la macho.Rice to City?
Sikuona uwezekano wa hili deal aisee, wacha tungoje.
Kwani dirisha limeshafungwa?, ndo kwanza tumeanza malalamiko ya nn mkuu?Decline rice hio ni £100m nyingine inaenda kukaa bench ..
Next season tutakuwa na ukame wa magoli sio Kwa Hawa viungo wakabaji tunaosajili [emoji23]...imagine kdb akapata injury ,ni kiungo gan mnyumbulifu atakayekuwa anashambulia kutokea katikati ,maana gundo &kdb ndio walikuwa machine zetu ....
Sisi tunahitaji kiungo mshambuliaji kama Jamal Musiala, ordegard,Bruno Fernandes, ambao kdb na bernado silva wakiwa injury wanaweza kuingia na kudeliver ....
Ngoja tulete vyuma, tuna jukumu la kutetea taji letu la UCL, sisi ndio bullies wa europe bwana.Mabingwa wa Treble naona tunaendelea boresha kikosi.
Hakika izi team uchwara hakuna rangi wataacha ona msimu ujao.
Huyu kalvin si alisema hana mpango wa kuondoka, kama hili deal lipo serious itabidi asepe tu, maana rodri, rice, stones, hapo kupata namba ni ndoto.[emoji599] Manchester City could be about to offer £75M plus Kalvin Phillips for Declan Rice.
Kwenye bei hapo ndio kunaweza kuwa pagumu make hatuna mpango wa kulipa iyo 100m wanayotaka, ni kama ile ishu ya cucurela tu.Josko Gvardiol has fully agree personal terms with Manchester City.
Negotiation between clubs over a transfer fee are also verry advanced.
(FootballFanCast)
Negotiation bado zinaendelea, ngoja tusubiri.Kwenye bei hapo ndio kunaweza kuwa pagumu make hatuna mpango wa kulipa iyo 100m wanayotaka, ni kama ile ishu ya cucurela tu.