The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Mabingwa wa Treble naona tunaendelea boresha kikosi.

Hakika izi team uchwara hakuna rangi wataacha ona msimu ujao.
 
Kuna jamaa anaitwa Mohamed Salah kasaini mkataba uko Saudi Arabia, watu tumepigwa na butwaa, kuja kufatilia woiii!

Ni msela flani tu sjui wa wapi uko.
 
Decline rice hio ni £100m nyingine inaenda kukaa bench ..

Next season tutakuwa na ukame wa magoli sio Kwa Hawa viungo wakabaji tunaosajili [emoji23]...imagine kdb akapata injury ,ni kiungo gan mnyumbulifu atakayekuwa anashambulia kutokea katikati ,maana gundo &kdb ndio walikuwa machine zetu ....

Sisi tunahitaji kiungo mshambuliaji kama Jamal Musiala, ordegard,Bruno Fernandes, ambao kdb na bernado silva wakiwa injury wanaweza kuingia na kudeliver ....
Kwani dirisha limeshafungwa?, ndo kwanza tumeanza malalamiko ya nn mkuu?

Txiki na pep wanajua wanachofanya.
 
[emoji599] Manchester City could be about to offer £75M plus Kalvin Phillips for Declan Rice.
 
Ionic
mancity-20230622-0001.jpg
 
[emoji599] Manchester City could be about to offer £75M plus Kalvin Phillips for Declan Rice.
Huyu kalvin si alisema hana mpango wa kuondoka, kama hili deal lipo serious itabidi asepe tu, maana rodri, rice, stones, hapo kupata namba ni ndoto.
 
Josko Gvardiol has fully agree personal terms with Manchester City.

Negotiation between clubs over a transfer fee are also verry advanced.

(FootballFanCast)
Kwenye bei hapo ndio kunaweza kuwa pagumu make hatuna mpango wa kulipa iyo 100m wanayotaka, ni kama ile ishu ya cucurela tu.
 
Saudia Arabia wanazidi kusomba wachezaji tu, jamaa wameamua mwaka huu, wanataka wapite na bernado na mahrez.
 
Gundogan ashandoka, tunaweza kuwapoteza pia kina

Walker
Bernado
Laporte
Mahrez
 
Back
Top Bottom