The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Wachezaji gan wata replace kina Bernado, Mahrez na walker kama wakisepa
Hawawezi kuondoka wote bana ...

Hapo mwenye probability kubwa ya kuondoka ni bernado silva ....

Bernado anataka timu za spin lakin hakuna iliyoleta offer ,...anahusishwa na psg lakin offer haijafika ...

Saudi arabia wanajihusisha nae ,japo yeye binafsi hajaamua ....

So hata bernado silva Kuna uwezekano wa kubaki ...
 
Gundogan ashandoka, tunaweza kuwapoteza pia kina

Walker
Bernado
Laporte
Mahrez
Laporte yeye lazima aondoke ....

Mahrez saudia ndio walikuwa wanamhitaji ,japo sijaona offer yeyote ya serious ...

Walker buyern munich ndio walikuwa interested nae japo na yeye hawana mawasiliano na club ...

Bernado silva na yeye hakuna club serious ambayo imeshaleta offer ...
 
Deal la Rice hatuko serious naona, arsenal wanataka kupeleka offer ya tatu.

Media zilikua zinatusumbua tu.
 
Fabrizio- "Negotiation between Leipzig and City are progressing really well'
 
OFFICIAL: Teams qualified for the 2025 Club World Cup so far:

UEFA:
[emoji1022]󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿Chelsea
[emoji633]Real Madrid
[emoji1022]󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿Man. City

ASIAFC:
[emoji1210]Al Hilal
[emoji627]Urawa Red Diamonds

CAF:
[emoji1093]Al Ahly
[emoji1173]Wydad Athletic Club

CONCACAF:
[emoji1166]C.F. Monterrey
[emoji631]Seattle Sounders
[emoji1166]Club León

CONMEBOL:
[emoji1054]Palmeiras
[emoji1054]Flamengo
 
Mpaka sasa hatujawasilisha bid yoyote kwa west ham [emoji23]

Zilikua kelele tu.
 
Huyo rice anakuja kukaa bench tu ....

Hawezi cheza mbele ya rodri, kovacic, Phillips ....

Aendee mapema arsenal ..
Phillips amuweke benchi rice? haupo serious kaka.

Rice angekuja city angepiga double pivot na rodri.
 
Naona tumeanza kumfatilia Ming-Jae Kim kama tukimkosa Gvardiol though kwa mujibu wa Fabrizio, mazungumzo yanaendelea vizuri.
 
Harafu stone akae bench au
Squad depth ndio kitu kinaangaliwa hapo, we sio mgeni wa squad rotation za pep.

Huwezi kusema stones na rodri watacheza kila mechi, au rodri na rice.

Kivyovyote vile

Rodri-Rice
Rice-Stones
Rodri-Stones

lazima watakua wanapokezana, wote tunamjua pep alivyo anapokuwa na kikosi kipana.
 
Sasa mkuu angalia sisi tunacheza formation gani ....

Tunaanza na back 3

3-2-4-1 ,na hii Sio double pivot,ake ,dias ,akanji nyuma ,means hapo stone kaingia kati na rodri ,muda huo bernado na grealish wako pembeni wametanua uwanja ,halaand kati ....

Sikumbuki ni game ngapi tumecheza double pivot kama sio ile ya arsenal tumeshinda 4-1,ake hakuwepo ,,,4-2-3-1hii ndio double pivot ambapo gundo ndio alikuwa anashuka chini kuungana na rodri ,,,hapa pep alimheshimu arteta means tulikuwa na back 4 , akanji,dias ,stone na walker ....gundo ndio akawa anadrop Kwa rodri ,,,,,

Rice kucheza double pivot maana yake achukue majukumu ya gundo .,,

Kiufupi double pivot system ni defensive minded ,hutaki kufungwa...ndio maana TT alikuwa anatumia pale Chelsea ,....Chelsea ilionekana solid vibaya mnoo ,kuifungua ni Kwa mbinde.....
 
Mkuu umekariri double pivot lazima iwe 6 na 8?

Double pivot ni kuwa na viungo 2 kwenye base ya midfield badala ya mmoja, stones huwa anacheza kama extra DM timu ikiwa na mpira, hapo sio mpaka gundogan ashuke ndo iwe double pivot.
 
Mkuu umekariri double pivot lazima iwe 6 na 8?

Double pivot ni kuwa na viungo 2 kwenye base ya midfield badala ya mmoja, stones huwa anacheza kama extra DM timu ikiwa na mpira, hapo sio mpaka gundogan ashuke ndo iwe double pivot.
Hakuna double pivot ya back 3 mzee ....

Stone akikaa pale kati bado Sion kama hio ni double pivot ....

Labda ungeelezea maana ya double pivot ni nin
 
Mkuu umekariri double pivot lazima iwe 6 na 8?

Double pivot ni kuwa na viungo 2 kwenye base ya midfield badala ya mmoja, stones huwa anacheza kama extra DM timu ikiwa na mpira, hapo sio mpaka gundogan ashuke ndo iwe double pivot.
Uko sawa kabisa ,kuwa na viungo wawili kwenye base ya midifilder....

Sio CB atoke chin apande kuwa midifilder,kama anavofanya stone ....hio maana yake nyuma unabaki na back 3...

Double pivot system 4-2-3-1 .......

Na huwa tunacheza huo mfumo sawa ila mara chache sanaa ,......

2023 yote system yetu ya kuwin game zote tumecheza 3-2-4-1 ,,,means ake -dias -akanji ,.......stone anatoka CB anaungana na rodri kati inakuwa ,,, stone ---rodri ..........NASEMA HIVI HII SIO DOUBLE PIVOT...kama nakosea nipo tayari unisahihishe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…