FK21
JF-Expert Member
- May 27, 2019
- 8,600
- 10,760
Ata wakisepa wote pep si yupoGundogan ashandoka, tunaweza kuwapoteza pia kina
Walker
Bernado
Laporte
Mahrez
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ata wakisepa wote pep si yupoGundogan ashandoka, tunaweza kuwapoteza pia kina
Walker
Bernado
Laporte
Mahrez
Hapo anayeniuma kumpoteza ni bernado.Ata wakisepa wote pep si yupo
Hawawezi kuondoka wote bana ...Wachezaji gan wata replace kina Bernado, Mahrez na walker kama wakisepa
Laporte yeye lazima aondoke ....Gundogan ashandoka, tunaweza kuwapoteza pia kina
Walker
Bernado
Laporte
Mahrez
Huyo rice anakuja kukaa bench tu ....Mpaka sasa hatujawasilisha bid yoyote kwa west ham [emoji23]
Zilikua kelele tu.
Phillips amuweke benchi rice? haupo serious kaka.Huyo rice anakuja kukaa bench tu ....
Hawezi cheza mbele ya rodri, kovacic, Phillips ....
Aendee mapema arsenal ..
Harafu stone akae bench auPhillips amuweke benchi rice? haupo serious kaka.
Rice angekuja city angepiga double pivot na rodri.
Squad depth ndio kitu kinaangaliwa hapo, we sio mgeni wa squad rotation za pep.Harafu stone akae bench au
Sasa mkuu angalia sisi tunacheza formation gani ....Squad depth ndio kitu kinaangaliwa hapo, we sio mgeni wa squad rotation za pep.
Huwezi kusema stones na rodri watacheza kila mechi, au rodri na rice.
Kivyovyote vile
Rodri-Rice
Rice-Stones
Rodri-Stones
lazima watakua wanapokezana, wote tunamjua pep alivyo anapokuwa na kikosi kipana.
Mkuu umekariri double pivot lazima iwe 6 na 8?Sasa mkuu angalia sisi tunacheza formation gani ....
Tunaanza na back 3
3-2-4-1 ,na hii Sio double pivot,ake ,dias ,akanji nyuma ,means hapo stone kaingia kati na rodri ,muda huo bernado na grealish wako pembeni wametanua uwanja ,halaand kati ....
Sikumbuki ni game ngapi tumecheza double pivot kama sio ile ya arsenal tumeshinda 4-1,ake hakuwepo ,,,4-2-3-1hii ndio double pivot ambapo gundo ndio alikuwa anashuka chini kuungana na rodri ,,,hapa pep alimheshimu arteta means tulikuwa na back 4 , akanji,dias ,stone na walker ....gundo ndio akawa anadrop Kwa rodri ,,,,,
Rice kucheza double pivot maana yake achukue majukumu ya gundo .,,
Kiufupi double pivot system ni defensive minded ,hutaki kufungwa...
Hakuna double pivot ya back 3 mzee ....Mkuu umekariri double pivot lazima iwe 6 na 8?
Double pivot ni kuwa na viungo 2 kwenye base ya midfield badala ya mmoja, stones huwa anacheza kama extra DM timu ikiwa na mpira, hapo sio mpaka gundogan ashuke ndo iwe double pivot.
Uko sawa kabisa ,kuwa na viungo wawili kwenye base ya midifilder....Mkuu umekariri double pivot lazima iwe 6 na 8?
Double pivot ni kuwa na viungo 2 kwenye base ya midfield badala ya mmoja, stones huwa anacheza kama extra DM timu ikiwa na mpira, hapo sio mpaka gundogan ashuke ndo iwe double pivot.