The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Herzog yupo sahihi. 3-2-4-1 ya Pep msimu uliopita ilihusisha double pivot ya Stones na Rodri na hii iliimarisha ngome ya ulinzi ya City na Kuwarahisishia kazi Ake,Akanji na Akanji katika kuzuia . Fanya research yako vizuri kuhusu double pivot
 
Mkuu inatakiwa uelewe kuwa double pivot haijalishi umeacha mabeki wangapi nyuma hatakama ni 1, what matters ni una watu wawili wanao dictate mchezo katikati (pivot).
Stones kutoka nyuma kuja kuungana na rodri kama kiungo wa ziada tayari wanatengeneza double pivot sababu wote wanakua wanafanya majukumu sawa.
 
Hakuna double pivot ya back 3 mzee ....

Stone akikaa pale kati bado Sion kama hio ni double pivot ....

Labda ungeelezea maana ya double pivot ni nin
Mkuu, yani unaona kabisa stones na rodri wote wanakaa katikati ya mabeki na viungo wa juu (KDB & Gundo) kusambaza mipira halafu bado unasema hiyo sio double pivot kwa sababu nyuma wamebaki mabeki 3?

Kazi ya DM (Modern DM kama Rodri, Partey, Busquet n.k) ni kuhakikisha ana hold mipira, kusambaza na kusaidia flow nzuri ya mipira kutoka kwa mabeki kwenda juu pamoja na kutoa cover backline isiwe exposed.

Akiifanya hii kazi akiwa peke yake inaitwa single pivot.

Wakiwa ni wawili wanafanya hii kazi inakua ni double pivot.

Pale city, hii kazi inafanywa na Rodri & Stones, Double pivot, there you go.
 
Herzog yupo sahihi. 3-2-4-1 ya Pep msimu uliopita ilihusisha double pivot ya Stones na Rodri na hii iliimarisha ngome ya ulinzi ya City na Kuwarahisishia kazi Ake,Akanji na Akanji katika kuzuia . Fanya research yako vizuri kuhusu double pivot
kabla ya kusema double pivot ni lazima kwanza ujue pivot ina maanisha kitu gni..
 
KDB atakosa mechi ya community shield na ya Burnley sababu ya harmstring injury.
 
Tukiweza kumbakiza bernado dirisha hili litakua jambo la maana sana.
 
Herzog yupo sahihi. 3-2-4-1 ya Pep msimu uliopita ilihusisha double pivot ya Stones na Rodri na hii iliimarisha ngome ya ulinzi ya City na Kuwarahisishia kazi Ake,Akanji na Akanji katika kuzuia . Fanya research yako vizuri kuhusu double pivot
double pivot ya 3-2-4-1 ....[emoji23][emoji23][emoji23]hii naweza kusema ni non -double pivot ...labda kama dp ni kuwa na CDM wawili tu bila kuangalia nyuma Kuna beki ngapi..

Double pivot maana yake ni nin , kiungo mmoja anashuka chini anaungana na kiungo mzuiaji CDM, wanakuwa 2katika eneo la midifilder huku CB wakibaki kama walivo wanne ....

Double pivot system inakuwa hivi 4-2-3-1 ,,,,maana yake beki wannne kiungo mmoja anayeshambulia anashuka chin anakuwa pamoja na kiungo mzuiaji CDM ,,,maana yake nin hii ni defensive mind by nature ,hapa unaenda kwenye game ukiwa unazuia ....


Pep anavofanya Sasa anamtoa stone CB ,na kuweka kati anaungana na rodri formation inakuwa 3-2-4-1 ,,,HII SIO DOUBLE PIVOT,,,,, beki zinabaki 3 bonge la space linabaki nyuma ,,,,hii system kudadeki kama huna roho ngumu huwezi kuicheza aisee ,lazima uwe na goalkeeper sweeper kama ederson au onana,au yule wa arsenal maana akiwa na mpira mguuni Yuko vzuri ,,..

Kwann nasema kucheza hii formation lazima uwe na sweeper goalkeeper huyo stone anavopanda mbele na kuungana na rodri , sweeper goalkeeper ndio ana chukua nafasi ya beki( maana beki mmoja kaondoka ) goalkeeper anakuwa kama beki wa nne ,hapa lazima goalkeeper ujiamin kweli kweli unaacha goli unaingia eneo la 18 kuatawala box na kusaidia beki 3 waliobaki ,means anaacha goal na kutawala Lile eneo la box Kwa mguu wake ,hapa wale watatu wanawazubaisha wapinzani Kwa kurudisha mpira Kwa goalkeeper,maana na yeye anakuwa sehemu ya mchezo .....ndio maana unaonaga Sana ederson anarudishiwa mipira nyuma kwenye build up ...


. vinginevyo unaweza pigwa kama ubwa ndio maana huwezi Kuta timu nyingi zinautumia hio system .....
 
Ndio maana Kuna single pivot na double pivot hizo zote ni mifumo so kusema double PIVOT haiangali nyuma unabaki na beki wangapi Bado nakuwa sijakuelewa ....
 
Hio system ya stone kuungana na rodri ni "new innovation by pep" kiufupi ......na imeibuka tu hiki kipindi cha goalkeeper sweeper ndio mhimu kuliko shots stopper goalkeeper...
 
Ndio maana Kuna single pivot na double pivot hizo zote ni mifumo so kusema double PIVOT haiangali nyuma unabaki na beki wangapi Bado nakuwa sijakuelewa ....
Nimekueleza majukumu ya mchezaji/wachezaji wanaocheza kama kitovu cha timu (pivot).

Akiwa ni mmoja ni single pivot.

Wawili ni double pivot.

Kitovu cha city kilikua na watu wawili timu ikiwa na mpira, stones & rodri, double pivot.

simple kabisa.

We bado unang'ang'ana na idadi ya mabeki.

Mkuu embu jaribu kwenda na google ukaangalie analysis ya mfumo wa 3-2-4-1 wa pep msimu uliopita, kuna articles nyingi sana zinaelezea hili suala, tusije tukawa tunabishana tu kwa mambo ambayo yapo wazi kabisa.
 
.double pivot ya rodri ---gundo ...


Double pivot lazima uwe na beki 4 mkuu ,na ndio maana halisi ya "double PIVOT system" ....

Lazima kiungo aungane na CDM ,,,,na sio beki apande juu kuungana na kiungo mkabajii ....


Stone ni beki ,sio kiungo
 
Now Fabrizio Romano reports that Josko Gvardiol has agreed personal terms with Man city.
 
Angalia stones anacheza position gan timu ikiwa na mpira, usikariri natural position.

Kwenye ku judge kuwa hii pivot ni single au double, we angalia wanaokaa mbele ya backline na nyuma ya attacking midfielder(s) timu ikiwa ina mpira.

Angalia role anayofanya stones, usiangalie kwa muktadha wa "huyu huwa ni beki"

Timu ikiwa na mpira, stones ni pure DM.
 
Nyie wapumbavu mnashinda kwa rushwa,kesi ya FFF itawapokonya mataji yote.
Rushwa haikubaliki kwenye soka
 
According to sky sports reporter, Phillip Hinze, City have submitted a bid worth £77million to RB Leipzig for Gvardiol.
 
Leipzig wanataka £86million, hapo tunatest mitambo.
 
Tunataka ku upgrade mkataba wa bernado ili kumshawishi abaki.
 
Muda mchache ujao, Matheo Kovacic atasaini mkataba rasmi na city.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…