Herzog yupo sahihi. 3-2-4-1 ya Pep msimu uliopita ilihusisha double pivot ya Stones na Rodri na hii iliimarisha ngome ya ulinzi ya City na Kuwarahisishia kazi Ake,Akanji na Akanji katika kuzuia . Fanya research yako vizuri kuhusu double pivot
double pivot ya 3-2-4-1 ....[emoji23][emoji23][emoji23]hii naweza kusema ni non -double pivot ...labda kama dp ni kuwa na CDM wawili tu bila kuangalia nyuma Kuna beki ngapi..
Double pivot maana yake ni nin , kiungo mmoja anashuka chini anaungana na kiungo mzuiaji CDM, wanakuwa 2katika eneo la midifilder huku CB wakibaki kama walivo wanne ....
Double pivot system inakuwa hivi 4-2-3-1 ,,,,maana yake beki wannne kiungo mmoja anayeshambulia anashuka chin anakuwa pamoja na kiungo mzuiaji CDM ,,,maana yake nin hii ni defensive mind by nature ,hapa unaenda kwenye game ukiwa unazuia ....
Pep anavofanya Sasa anamtoa stone CB ,na kuweka kati anaungana na rodri formation inakuwa 3-2-4-1 ,,,HII SIO DOUBLE PIVOT,,,,, beki zinabaki 3 bonge la space linabaki nyuma ,,,,hii system kudadeki kama huna roho ngumu huwezi kuicheza aisee ,lazima uwe na goalkeeper sweeper kama ederson au onana,au yule wa arsenal maana akiwa na mpira mguuni Yuko vzuri ,,..
Kwann nasema kucheza hii formation lazima uwe na sweeper goalkeeper huyo stone anavopanda mbele na kuungana na rodri , sweeper goalkeeper ndio ana chukua nafasi ya beki( maana beki mmoja kaondoka ) goalkeeper anakuwa kama beki wa nne ,hapa lazima goalkeeper ujiamin kweli kweli unaacha goli unaingia eneo la 18 kuatawala box na kusaidia beki 3 waliobaki ,means anaacha goal na kutawala Lile eneo la box Kwa mguu wake ,hapa wale watatu wanawazubaisha wapinzani Kwa kurudisha mpira Kwa goalkeeper,maana na yeye anakuwa sehemu ya mchezo .....ndio maana unaonaga Sana ederson anarudishiwa mipira nyuma kwenye build up ...
. vinginevyo unaweza pigwa kama ubwa ndio maana huwezi Kuta timu nyingi zinautumia hio system .....