Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,361
- 21,680
Hii Sheria mpya ya offside wanayotaka kuleta aisee[emoji23][emoji23],,imagine hapo sio offside...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Team kama arsenal mpaka Sasa wanajitafuta kurudi kupigania epl next season maana maumivu tuliyowaachia sio mchezo [emoji23]...Watu humu wanatupiga mawe kua team yetu ina mashabik wawili mara hatuchangai sana jukwaani hapa
Sasa ndg zng wanatak tuchangie nini.. Sisi team yetu ni uhakika makombe na ndo tumebeba Treble[emoji41]...hatuna cha kuchangia sana sisi ni walete team zao zifungwe bas.
Wny team tia tia maji ndo waendelee na Tetes hlf waje tuwakande kama kawaida msimu ujao.
View attachment 2677580
Chelshit project haieleweki halafu mashabiki walianza matusi basi matajiri tukaona kwanini kijana ateseke! Wakati anaweza kuja kucheza na mafundi wa mpira Bruno & Casemiro.ila Chelsea wamesambalatika aisee ..
Imagine mount mchezaji wa academy kabisa ,anatoka Chelsea anaenda man UTD na kiwango kilee chote [emoji23]
Japo man u na Chelsea sio rival ila hii kitu sio poa kabisa ,sawa na foden atoke city aende arsenal au united ....
Next season Chelsea sijui ,maana viungo matata wote wameamusha ..
Next season Chelsea ni team ya kujipigia tu ...wale kina madueke sijui Gallagher,pumzi hawana ya kutosha ..Chelshit project haieleweki halafu mashabiki walianza matusi basi matajiri tukaona kwanini kijana ateseke! Wakati anaweza kuja kucheza na mafundi wa mpira Bruno & Casemiro.