The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Manchester City position remains clear on Bernardo Silva: no intention to open talks with any club, as reported last week. [emoji838][emoji732]️ #MCFC

Official new contract proposal will be sent to Bernardo very soon, already this week.

It will be up to the player at that point.
 
Wana jeuri hawa watu
Mtu katoka kuchukua treble juzi tu hapa na ndani ya miaka 5 amebeba Epl mara 4 lazima awaletee jeuri Trophyless team kama Arsenyo.
Hata sisi kaka zao Manyumbu hua tunaingia kwenye hili jukwaa kwa heshima na adabu maana tunatambua kwa haya makombe anayojibebea kila msimu dogo lazima atakua tayari kashaota mapembe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
[emoji23][emoji23]Hawa vijana Gunners kwnz hata hadhi ya kuingia humu hawana.

Ww tutaongea vp na mtu hata ambao hawana kikombe chochote cha ulaya.

Wanajiuliza kwnn watu wengi wanakaa kwny jukwaa lao?.. Sbb ni moja tu.. Siku zote Arsenal miaka kama 20+ imekua team ya vichekesho na kutolea memes ndo maana kila mtu anawazonga.
 
Man city tuwauzie Ben Doak?
Liverpool huu msimu sijui hata mnagombania nin .....

Salah huyo waarabu washamwaga PESA ,huyo Ben doak hawezi pata namba city Kuna madogo wanaupigwa mwingi lakin wako bench ,uliona palmer alichowafanya arsenal juzi ...yule Dogo Bado anastruggle kutafuta namba ....Sasa huyo Ben anaweza kukaa bench mpaka akakimbia mwenyewe [emoji23]
 
Diego Simeone: “Haaland is an animal in front of goal, he is perfection in that ‘nine’ role that lives facing the goal. Haaland had to arrive to secure the Champions League. Sometimes it’s not enough just to play well.”
 
.Hawa waarabu wanataka kutuharibia burudani la soko ,imagine CL bila vyuma kama hivi [emoji23]
 
Haaland alipotoka mashabiki wa arsenal wakawa wanamtolea macho ,akawambie tuna treble ..
 
We ni chura
 
Pep Leo kwenye training alikuwa serious hatari ...Hawa burnely wasipokula goli 5 , kompany atatusamehe tu ..
 
Hapa haters inabidi watafute maneno mengine ,CL tulishanyanyua ...


#PepGuardiola on winning the #UCL: "It's great to have achieved it. We're really proud. After winning five #PL titles, everybody started to say if we didn't win the #ChampionsLeague it wouldn't be a complete success. They will have to find another argument now..." [via UEFA]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…