HENRY14
JF-Expert Member
- May 13, 2021
- 2,952
- 5,583
Uwanjani mnatupiga kweli kweli ila mambo yanaenda kubadilika. Huku mitandaoni kiushabiki sisi hatuna muda na nyie tuko busy na Manyumbu, Chelkenge na Liverkuku. Nyie ni attention seekers tu wala hamtusumbui.Sasa hapa wewe ndo unajipa umuhimu ambao huna.
Uje kujadiliana na nani humu timu trophyless?
[emoji23][emoji23]
Nenda kajadiliane na matrophyless wenzio humu hatuna mda na mayatima wa kimakombe.
Tunawachora tu mnavyojipitisha vibarazani kwetu na khanga moko iliyolowa na kujitahidi kutingisha yasiyomo, magumu na hayatingishiki. Hamna mvuto na hamutusisimui wala Nini. Tuna wake zetu ndani wakali zaidi nyie tunawasanifu tu.