The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Sasa hapa wewe ndo unajipa umuhimu ambao huna.

Uje kujadiliana na nani humu timu trophyless?
[emoji23][emoji23]
Nenda kajadiliane na matrophyless wenzio humu hatuna mda na mayatima wa kimakombe.
Uwanjani mnatupiga kweli kweli ila mambo yanaenda kubadilika. Huku mitandaoni kiushabiki sisi hatuna muda na nyie tuko busy na Manyumbu, Chelkenge na Liverkuku. Nyie ni attention seekers tu wala hamtusumbui.

Tunawachora tu mnavyojipitisha vibarazani kwetu na khanga moko iliyolowa na kujitahidi kutingisha yasiyomo, magumu na hayatingishiki. Hamna mvuto na hamutusisimui wala Nini. Tuna wake zetu ndani wakali zaidi nyie tunawasanifu tu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bas sawa.

IMG_4109.jpg

Kula chuma icho[mention]cocastic [/mention]
 
Uwanjani mnatupiga kweli kweli ila mambo yanaenda kubadilika. Huku mitandaoni kiushabiki sisi hatuna muda na nyie tuko busy na Manyumbu, Chelkenge na Liverkuku. Nyie ni attention seekers tu wala hamtusumbui.

Tunawachora tu mnavyojipitisha vibarazani kwetu na khanga moko iliyolowa na kujitahidi kutingisha yasiyomo, magumu na hayatingishiki. Hamna mvuto na hamutusisimui wala Nini. Tuna wake zetu ndani wakali zaidi nyie tunawasanifu tu.
Hahahaha
sasa hapa anayetafuta attention nani make mpo humu na hamna aliyewaita.

Yani umekuja bila kuitwa halafu unasema tunatafuta attention, mayatima wa makombe bwana, haya nendeni mkashangilie taji lenu la community shield [emoji23]
 
Pep Guardiola on Walker-Bayern: “He’s super important for us. Hopefully he can stay”. [emoji599][emoji838] #MCFC

“We have one more year of contract, it's not the end so if someone wants him they have to talk, like Bernardo”.

“We want them to stay. They are so important for us”.
 
Toka mwaka 2011 hakuna timu iliyochukua community shield harafu ikienda kuwin PL ...

2021 lecister city alichukua lakin alishia nafasi 8

2022 alichukua Liverpool lakin kaishia nafasi 6

2023 kachukua arsenal [emoji23]...

Keep watching....
 
Ile app ya score 808 walionesha mechi ya jana?
 
Toka mwaka 2011 hakuna timu iliyochukua community shield harafu ikienda kuwin PL ...

2021 lecister city alichukua lakin alishia nafasi 8

2022 alichukua Liverpool lakin kaishia nafasi 6

2023 kachukua arsenal [emoji23]...

Keep watching....
Kwamba Kuna uchawi hapo?
 
Mkuu na wewe umekuja kuubless huu Uzi wa Hawa wapweke? Hata Mimi nimewahurumia nikaona nipoteze muda wangu kuja kuwaungisha vicomments vichache. Hakika Mimi na wewe na kina hamis77 na Flano ni wema sana na tutachota thawabu kama zote Kwa namna tumejotolea kuja kuchangia humu.
Wana jeuri hawa watu
 
Man city ni maji ,usipokunywa utayaoga ,au utayapikia tu [emoji23]...

Huko huko kwemye Uzi wenu ,hamuwezi kuchangia mada bila kutaja neno #man city ,hoja zote lazima man city ahusike .....

Come down eagle fly alone ...

Sisi tupo juu kabisa kileleni ,tunakula upepo ,..
 
[emoji599][emoji599]– BREAKING: Bernardo Silva will NOT wait much longer for Barca and is close to renewing with Manchester City. #Transfers #FCB #fcblive

⟨🟢⟩: @RogerTorello and @martinezferran
 
Back
Top Bottom