The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Ndo tumefunga usajili nini? naona tunahitaji winga wa kulia.
 
Pale unapoenda kucheza community shield na team ambayo haijashinda kitu Chochote msimu mzima [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Aaah!!

West ham wanataka £85m kwa paqueta!

Upuuzi mtupu.
 
Aaah!!

West ham wanataka £85m kwa paqueta!

Upuuzi mtupu.
Saizi soko limeshaharibikia ,imagine average player kama huyo haikutakiwa kuzidi 50m ,...

Ni attacking midifilder lakin sio wa kiwango kile ...

Sema pep anajaribu kuangalia namna ya ku replace kina kdb na kovacic ,in case wakiwa injury ,kupata upana wa kikosi kizuri ...

But Kwa hio bei ,hatari tupu ....
 
Huyu ndio next Mahrez kama hujajua ...

Dribbling zake uliziona lakin ..

Pamler will cook you next game ,keep watching [emoji23]

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kwa hiyo mshafanya sisi ni wateja wenu sio?

Tumeamka sasa hivi tumekataa uteja huo msimu huu tutagawana pointi.

Ngoja utaona
 
Kovacic ni injury prone ,akiwa fit ndio anakiwasha ,...

Team bila kdb huwa inakosa balance nzuri ,...

Pep anaumiza kichwa kutafuta world class attacking midifilder,Kitu ambacho ni kigumu mno Kwa ulimwengu wa soka wa Sasa ....

itatuchukua muda Sana kupata play maker kama kdb ...
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kwa hiyo mshafanya sisi ni wateja wenu sio?

Tumeamka sasa hivi tumekataa uteja huo msimu huu tutagawana pointi.

Ngoja utaona
Hahaaaa this time arsenal naona mnaitafuta epl Kwa udi na uvumba ,lakin tukikutana ni cheche zitatokea ....

Mtahitaji pumzi nzito sana kuchukua point 3 dhid yetu ....
 
Huyaapa mnataka kupigwa na Westham [emoji1787][emoji1787]
 
kuna uwezekano wa swap deal kati yetu na west ham, tuwape mchezaji mmoja na pesa kiasi, watupe paqueta.

Cole palmer ndiye inasemekana anaweza kuwekwa kwenye hilo deal
 
kuna uwezekano wa swap deal kati yetu na west ham, tuwape mchezaji mmoja na pesa kiasi, watupe paqueta.

Cole palmer ndiye inasemekana anaweza kuwekwa kwenye hilo deal
Rodri msimu umeoisha kacheza zaidi ya game 56 ,sioni kama ataweza kufululiza msimu huu game zote hizo back to back ...hapa huduma ya kina kalvin Phillips inahitajika ...
 
Lucas Paquetá wants Manchester City. Club to club negotiations continue as City will bid again — after initial verbal approach for £70m rejected. [emoji838][emoji1054]

Players can be included in the deal, as reported yesterday.

City don’t want to overpay but preparing new verbal approach.

 
.naona wengi wanampa chance arsenal kuchukua PL ...



Arsenal kuchukua PL Sina shida kabisa ,shida itakuwa siku arsenal akitufunga [emoji23]
 
West ham nao wanamtaka cole palmer, hapo kuna uwezekano wa swap deal.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…