Sema kwenye progressive pass yupo fresh ila kdb ni kdb tu but ndo ivyo inabidi tuache kumtegemea sana ashaanza kujenga urafiki na wodi.Huu ni muda wa kovacic kutubeba Sasa ...
Tutawaona kama mtawaweza Burnley [emoji23][emoji23][emoji170][emoji170]Kocha wa burnley kacheza man City unategemea nn hakuna mechi hapo maigizo tu kenge nyie
Game na sevilla sijui kama atakuwepo ,....Sema kwenye progressive pass yupo fresh ila kdb ni kdb tu but ndo ivyo inabidi tuache kumtegemea sana ashaanza kujenga urafiki na wodi.
Naamini Kovacic ni mchezaji world class ni vile majaraha tu yalimuandama. Tukiweza kumtumia vizuri akawa injury free anaweza tupatia nusu ya alichokua anataoa KDB.Sema kwenye progressive pass yupo fresh ila kdb ni kdb tu but ndo ivyo inabidi tuache kumtegemea sana ashaanza kujenga urafiki na wodi.
Arsenal kama anaweza kesho ashinde goli 4 [emoji23]Top of the table
Sio 4 tu, 4 bila.Arsenal kama anaweza kesho ashinde goli 4 [emoji23]