The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Sema kwenye progressive pass yupo fresh ila kdb ni kdb tu but ndo ivyo inabidi tuache kumtegemea sana ashaanza kujenga urafiki na wodi.
Game na sevilla sijui kama atakuwepo ,....

Super cup ni mhimu Sana ...

Ake anautulivu wa hali ya juu ,mpaka saizi namkubali hatari ...
 
Sema kwenye progressive pass yupo fresh ila kdb ni kdb tu but ndo ivyo inabidi tuache kumtegemea sana ashaanza kujenga urafiki na wodi.
Naamini Kovacic ni mchezaji world class ni vile majaraha tu yalimuandama. Tukiweza kumtumia vizuri akawa injury free anaweza tupatia nusu ya alichokua anataoa KDB.
 
Lewis out, gvardiol in
ake out, laporte in
haaland out, palmer in
 
Mabingwa watetezi tupo kileleni sasa, marathon imeanza ,hii inaitwa catch me if you can.
 
Hizi point 18 za mwanzo inabidi tubebe zote halafu ndo tuanze mahesabu mengine.

burnley 0-3 city
 
Siku hizi marefaree wanaongeza dakika nyingi sana ,sijui manatumia vifaa gani kugundua muda uliopotea ..
 
Ubao ndio huo [emoji170][emoji170]
premierleague-20230812-0001.jpg
 
Kila tukicheza na Burnley kwake ,ndani ya dakika 5 tunakuwa tushampiga chuma [emoji23]
IMG-20230812-WA0001.jpg
 
Back
Top Bottom