Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,361
- 21,680
Pep anatafuta upana wa kikosi kwa ajiri ya carabao na fa ..huku UEFA na epl majembe wakianza. ...Jeremy doku, lucas paqueta.
Tuwalete hawa then tuone panapovuja.
Ili ni pengo lkn Sevilla tutawanyoosha tu.Bernado silva nae majeruhi, hayupo kwenye kikosi kilichosafiri kwa ajili ya super cup.
Hata kdb hatakuwepo ..Bernado silva nae majeruhi, hayupo kwenye kikosi kilichosafiri kwa ajili ya super cup.
Kesho mechi itakuwa ngumu aisee ...Pigo tulilolipata dah.
KDB miezi mi4 nje hapa ss inaye muAffect mwngne ni Haaland maana atakua anakosa sana Service yake.
Hapa hakuna namna inabid tuingie mazima kwa Paqueta.. Hapa sasa ndo Westham lzm watupige bei ambayo lzm iwe balaa ndo hatuna namna tena.
Sema bado na kikosi chetu ligi bado iko within our range tuna quality sana ya kikosi chetu. View attachment 2718356