Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Taja location ambayo unatesekea mkuu tukutumie Ambulance.Timu imefungua uzi tangu 2009 lakini bado inazidiwa posts na uzi wa warembo wakali worldwide uliofunguliwa 2017.
Nyie kweli plastic fans!
Leo kuna watu wanabid kua katk A game zao.. Foden, Cole palmer inabid hawa Sevilla tuwafunge iyo ndoo tunahitaj kabatini kwetu.Kikosi cha man city kinachoanza
[emoji2527] Manchester City XI vs. Sevilla: Ederson, Walker, Akanji, Gvardiol, Aké, Rodri, Kovačić, Foden, Palmer, Grealish, Haaland.
#UEFASuperCup
Hawa ni wavulana bado hawawezi mziki wa wanaume ngoja tuwavutie upepo wajewaone shughuli pevu.Kula chuma hiko.....
Leo kuna watu wanabid kua katk A game zao.. Foden, Cole palmer inabid hawa Sevilla tuwafunge iyo ndoo tunahitaj kabatini kwetu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] OK OK [emoji106] [emoji108]Game ishaanza ni dkk 10 sasa hakuna goal ila kuna kila dalili za hawa wavulana wa sevilla kutukabidhi mwanamwali kwa mpira wanao cheza ni kama wametuogopa tayari.
Tulia baada ya dakika 90 uje na hoja mpya .City kosi chenu bila kd9 bernado silva na gundo mnakuwa uchochoro tu
Arsenal gonna show you levels
Pamoja na hao kukosekana ila chamoto kitawapata tu hawana pa kukwepea.City kosi chenu bila kd9 bernado silva na gundo mnakuwa uchochoro tu
Arsenal gonna show you levels
UsikimbieHizi mbanga leo zinakalishwa. Ile UEFA mulibahatisha tu .. Sevilla nipigie hao takataka man shitye
City will never be the same...pep analijua hilo ndio maana anachanga karata zake vizur kuweka target sehemu mojaPamoja na hao kukosekana ila chamoto kitawapata tu hawana pa kukwepea.
sevilla wakiskiaga jina manchester wanajua wanashinda[emoji41]Sisi sio manyumbu ...
Hao sevila wakipata hata draw Basi itakuwa maajabu ya dunia [emoji3]
Aisee hii mechi sio nyepesi hata kidogo kwa City hawa Sevilla wanajua sana kucheza hizi big mechi za uefaCity will never be the same...pep analijua hilo ndio maana anachanga karata zake vizur kuweka target sehemu moja
he has no squad to compete major trophy this season
Mechi ya leo ni lanipgwa park bus moja hachomoki mtu hapo
1-0