The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Kikosi cha man city kinachoanza
[emoji2527] Manchester City XI vs. Sevilla: Ederson, Walker, Akanji, Gvardiol, Aké, Rodri, Kovačić, Foden, Palmer, Grealish, Haaland.

#UEFASuperCup
 
Leo kuna watu wanabid kua katk A game zao.. Foden, Cole palmer inabid hawa Sevilla tuwafunge iyo ndoo tunahitaj kabatini kwetu.
 
Game ishaanza ni dkk 10 sasa hakuna goal ila kuna kila dalili za hawa wavulana wa sevilla kutukabidhi mwanamwali kwa mpira wanao cheza ni kama wametuogopa tayari.
 
City kosi chenu bila kdb bernado silva na gundo mnakuwa uchochoro tu
Arsenal gonna show you levels
 
Leo kuna watu wanabid kua katk A game zao.. Foden, Cole palmer inabid hawa Sevilla tuwafunge iyo ndoo tunahitaj kabatini kwetu.
Game ishaanza ni dkk 10 sasa hakuna goal ila kuna kila dalili za hawa wavulana wa sevilla kutukabidhi mwanamwali kwa mpira wanao cheza ni kama wametuogopa tayari.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] OK OK [emoji106] [emoji108]
 
Hizi mbanga leo zinakalishwa. Ile UEFA mulibahatisha tu .. Sevilla nipigie hao takataka man shitye
 
Pamoja na hao kukosekana ila chamoto kitawapata tu hawana pa kukwepea.
City will never be the same...pep analijua hilo ndio maana anachanga karata zake vizur kuweka target sehemu moja

he has no squad to compete major trophy this season

Mechi ya leo ni lanipgwa park bus moja hachomoki mtu hapo
1-0
 
Aisee hii mechi sio nyepesi hata kidogo kwa City hawa Sevilla wanajua sana kucheza hizi big mechi za uefa
 
manshity bila kdb na gundo ni gwambina ya ulaya[emoji16][emoji16] ocampos peleka moto
 
Nyie Ng'ombe bila KDB ni hamna kitu kabisa, muishukuru sana Chelsea maana saizi mngekuwa League One huko
 
Back
Top Bottom