Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,361
- 21,680
Kbs sevilla watatukazia sana.Kesho mechi itakuwa ngumu aisee ...
Bila kdb tunastruggle Sana ..
Tuombe foden awe kwenye form ..
Kovacic ,rodri ,foden ,watatusaidia mkuu[emoji3]...Kwaiyo pale kati tunamtegemea foden pekee?
Inabidi tusajili asee
Sisi sio manyumbu ...Ocampos [emoji4] acuna [emoji56]
Nlimaanisha mtu ambaye ana creativity ya kutengeneza nafasi.Kovacic ,rodri ,foden ,watatusaidia mkuu[emoji3]...
Huu game sevilla watacheza Kwa passion kubwa mnoo maana wanajua dakika 90 then matuta ...
So tunahitaji utulivu na mbinu nying kweli kweli ...
Tafuta attention sehemu nyingine humu hapakufai [emoji3]Timu imefungua uzi tangu 2009 lakini bado inazidiwa posts na uzi wa warembo wakali worldwide uliofunguliwa 2017.
Nyie kweli plastic fans!