The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Kuna team inapenda kujipitisha humu ,Ila nawaambia tu mashabiki zake kuwa hawatakuja kuchukha haya makombe at once [emoji3][emoji3][emoji170][emoji170][emoji170]
 
Final siku zote sio nyepesi ..kawaulize manyumbu huyu sevilla aliwafanya nin[emoji3][emoji3][emoji3]
Noma sana
Hasa mara zote tuta la mwisho ni balaa
Degea alipaisha
Diarra kwa uto nae alipaisha
Kuna nyingine sisi nyumbu tulicheza Yuropa dogo Elanga akakosa ya mwisho kabisa inapresha sana inabidi mchezaji awe mtulivu haswa
 
Leo Walker alikuws uchochoro aisee ...

Kafanya tackling moja kamkosa ,aisee ederson akajikuta Yuko mwenyewe na yule forward wa sevila ...

Bado haitoshi Tena ,Walker akaacha kumu mark yule jamaa ,amaenda Tena one vs one na ederson ...

Pasingekuwa ederson Leo tungelala yooo ,madogo wamejua kutuotea ...
 
Palmer ni pure talent anahitaji vitu vidogo Sana kuimprove ...

Kuna muda nilikuwa namiss zile movement za mahrez ...

Anakuja ndogo ndogo ...
Hakika huyu kijana anakuja kdg kdg..sikua fan wake lkn kwa ss naanza kumuelewa.

Sema uzur wa pep ukiwa patient na ukamsikiliza anachosema utatoboa tu.
 
Huyu walker kwa umr wake na alivotumika sana eneo ilo pep inabid awe na mtu wa kuanza mara nyng kuliko yy ili tuwe tuna conserve energy yake kwny game za muhm zaid ambazo zitahitaj zaid experience yake.
 
Pep anazingua kung'ang'ania kumchezesha Haaland dakika 90 hata mechi ikimkataa kuna siku itakuja kutukost. Tia Alvarez (Aguero mtofo) ndani Haaland akipuyanga .
Jamaa yetu huyu kusema ukwl mda mwngne game inamkataa mbya sana akikosa service au akikamatwa.

Inabid pep atafute solution hasa kipind hiki KDB hatakuwepo inaweza punguza snaa yy kupata magoal.

Na performance yake kwny Big game hasa semis na final ni swali la kujiuliza sana
 
sio mchezaji wa mechi kubwa. na bila kdb mtashndwa kuona tofauti yake na maguli
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] alikuwa amechoma nyumba aisee nikasema yale Akanji kwa Arsenyani yatukute tena nani katuroga ukweli nilibaki nimeshika kichwa jasho likinitoka ka mi ndo Enderson.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…