The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Muna timu ya hovyo sana musimu huu. Munapigika kiboya boya tu subiri tukutane ndio mutajua hamujui ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] alikuwa amechoma nyumba aisee nikasema yale Akanji kwa Arsenyani yatukute tena nani katuroga ukweli nilibaki nimeshika kichwa jasho likinitoka ka mi ndo Enderson.
Yaan hapa kijasho
Kilinitoka [emoji3]
 
Tuna Newcastle wekekend na hii form yetu sijui itakuaje. Wacha inyeshe tuone panapovuja.
Kusema kweli kwa Sasa team yetu ni tia maji tia maji .....


Ni Kama vile tupo kwenye kujenga team ,baada ya mahrez ,gundo ,Sasa kdb ambao ndio walikuwa wanabeba timu kutokuwepo ....

Pep anaangalia namna ya kuwatumua Hawa Hawa Kuna Palmer kupata ushindi ..

Game ya Newcastle aisee ,itakuwa ngumu hatari ...

Timu yetu kwa Sasa hatuna creative player ,tuna tembelea winning mentality ya team tu ...

Hu msimu utakuwa mrefu Sana kwetu ...
 
Team saizi iko predictable kabisa ,sevilla wamepiga counter attack Kama tatu hivi za hatari ,wangekuwa na mmaliziaji mzuri Basi saiz tungekuwa tunaongea mengine ....
 
Pep anailaumu premier league kwann wamegoma kusogeza game yetu na Newcastle kuchezwa jumapilj au jumatatu .... Tunacheza jumamosi ...siku mbili tu baada ya kucheza na sevilla ...

Hii game na Newcastle naona itakuwa ngumu kwetu ,tena Sana ...

[emoji2424] Pep Guardiola: "Thank you so much to the Premier League for letting us play on Saturday, and not Sunday or Monday. Thank you so much."

 
Hii ndio ukweli ...

Rio Ferdinand: "In my opinion, Manchester City needs more players in the transfer market; a number of experienced players have left and the team needs more players."
 
๐Œ๐š๐ง ๐‚๐ข๐ญ๐ฒ ๐ฐ๐ข๐ง ๐”๐„๐…๐€ ๐’๐ฎ๐ฉ๐ž๐ซ ๐‚๐ฎ๐ฉ! [emoji471][emoji838]

โ€ฆand City makes it ๐Ÿ๐Ÿ“ ๐ญ๐ซ๐จ๐ฉ๐ก๐ข๐ž๐ฌ under Guardiola [emoji633]

Premier League
[emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471]

Carabao Cup
[emoji471][emoji471][emoji471][emoji471]

Community Shield
[emoji471][emoji471][emoji471]

FA Cup
[emoji471][emoji471]

Champions League
[emoji471][emoji92]

UEFA Super Cup
[emoji471][emoji92]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ