Rosicky
JF-Expert Member
- Sep 21, 2015
- 1,202
- 2,045
Mnasahau sanaKuna team zinaenjoy tena zinabebwa ,arsenal anasababu gani ya kucheza game yake jumatatu [emoji3]
Wakati sis tumecheza game Tena ngumu final jumatano na jumamosi tuko uwanjani Tena,tumepumzika siku mbili tu ...
ila Kuna team zimecheza jumamosi ,zinacheza Tena jumatatu ,yaani siku 8 zimepumzikia ...
Last season mlicheza na dortmund jtano uefa mkashinda mkacheza na wolves jmosi saa nane mchana mkashinda
leo hii wasiwasi unatoka wapi wakubwa ???