The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Foden na grealish inabidi tuanze kuwachapa viboko Sasa Kama watashindwa kudribble na kupiga cross kumtafuta haaland katikati...
 
Kosi la ushindi
FB_IMG_16924688247638655.jpg
 
Naona wanaojiita washindani wetu wanavotufatilia kwa ukaribu hapa, wakiomba miujiza itokee[emoji23]
 
Game ni ya Moto kweli kweli ,full kuviziana ...

Hawa Newcastle wanafanya marking man to man ....
 
Halaand akiendelea kukosa huduma ya Kdb ni bora akae nje tu, tim icheze mfumo mpya
Saiv kuna uwezekano mkubwa sana pep akimuamin Alvarez mara kwa mara akamOut score Haaland au kua naye karb sana.
 
Back
Top Bottom