The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Mkuu siwez kukupinga hata dakika moja.

Mwnyw ukiniambia nichague finisher lzm Alvarez asimame pale kwnz anakupa kila kitu anajua kufanya kila kitu kama striker.

Alvarez is a better finisher than Haaland but that conversation is for another day [emoji817]
Alvarez alichofanya world cup mpaka lautaro Martinez wa intermillan alikaa bench ... Argentina ikawa inamtegemea Alvarez..

Sema pep kashaweka Iman kwa haaland so Alvarez anahitaji muda kumprove pep kuwa anaweza kumzidi haaland ...
 
Kbs lkn siku Haaland akianza kudeep in form hlf Alvarez aanze kupata nafas mara kwa mara, Haaland atalia kuondoka kbs maana huyo dg ana balaa sio kawaida.

Yan ukimuona uchezaj wake unajua kbs kua hapa nina complete striker [emoji817]
 
Kwa perfomance ya leo ya kova na foden, kuna matumaini ya kusurvive kwenye hiki kipindi cha majeruhi.

Midfield yetu imetoa solid perfomance, inabidi tuzoee kucheza bila kdb.
 
Kwa perfomance ya leo ya kova na foden, kuna matumaini ya kusurvive kwenye hiki kipindi cha majeruhi.

Midfield yetu imetoa solid perfomance, inabidi tuzoee kucheza bila kdb.
Hapo kova sina nae shida kwny Consistency.

Hapo wa kuomba awe n form nzr ni foden aache mambo ya on and off akiweza ilo bas kdg round ya kwnz hii tutakua vzr zaid.
 
ila pep [emoji3][emoji3][emoji3]

Pep Guardiola told a fan in the stands to come sit in his seat if he thinks he could do a better job.
FB_IMG_16924803030882714.jpg
 
Back
Top Bottom