The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Kwa kikosi na mapesa aliyotumia Chelsea havina uhusiano kabisa na matokeo ....

Hizo pesa alizotumia Chelsea angetumia man city mpaka Sasa media zote ulaya zingekuwa zinagombana na pep [emoji3]....

Ndani ya misimu miwili tu billion 1 wametumia Chelsea ,last season million 600 ,this season million 400,,...lakin hakuna mtu anayeongea unajua kwanin ....

Ni kwa sababu Chelsea kwa Sasa ni average team ,haisumbui kokote ,ulaya Wala England hivyo Basi watu wanajipigia pesa for fun [emoji3]....

Nachotaka kuwakumbusha Chelsea ni kuwa watumie pesa zote hizo lakin waendelee kuwa wabovu hivo hivo ,siku Chelsea ikiwa timu hatari uwanjan ,Hadi ulaya ,yaani team zote England zikiwa zinashindwa kumfunga cheslea uwanjan ,Basi hapo ndipo investigation itaanza kufanyika ,cheque book za Chelsea zitatafutwa popote zilipo ili wawapige rungu la FFP ......


Kwa Sasa hata Chelsea inunue wachezaji wa billion 4 no body care ,kwa sababu ni heavy investment with zero impact.....

Hio ndio England.....baada ya man city kutembeza kichapo wakaona Hawa hatuwawezi kuwapiga Tena kwenye uwanjan so tunatafuta alternative nje ya uwanja,ndio maana wakaanza kuhangaika na ffp Mara sijui wachezaji wanaolipwa tofauti na mishahara ,hiyo ni baada ya kuona they can't fight more in the pitch with the champion man city ...
 
Caicedo atacheza kwa pressure kubwa mno pale Chelsea ...

Atataka kucheza kwa quality kubwa kulingana na pesa aliyosajiliwa lakin atakutana na kitu kizito ...

Kuna watu nilikuwa nacheka tu ...unasikia kwa Chelsea hii kudadeki wamlete man city , hapo ni baada ya draw na Liverpool,mim nikawambia hio no Liverpool mbovu ,cheslea iko pale pale ina average player ambao sio creative ,watu wanabisha [emoji3]...

Jana Sterling alikuwa anajitahidi Sana kutengeneza run nzuri kuingia kwenye box lakin hakuna wamaliziaji ....Sterling ndio kawasababishia hata penalty...

Kiufupi chelsea Haina creative midifilder,na mapesa you're waliyotuia ...

Enzo ,caicedo ,mud ,lavia hayo ni majina ya average player ...kwenye tight space hawana ujanja ....
 
🙏🙏💯
 
Chelkenge hamna kazi pale.
 
Kama mambo yenu ni halali, msiwe na wasiwasi. Kama si halali, mrekebishe yawe halali. Msione mnaandamwa bure. Chelsea wenyewe si unaona wanagawa mikataba ya miaka mingi sana. Nyie pia nilisikia mliuza mtoto wa academy Kwa mamilioni ya pesa. Loopholes za kucheza na ffp zipo na zinatumiwa na teams kibao. Sisi wenyewe tumemnunua David Raya Kwa 30m. Mbinu iliyotumika ni tunaemchukua Kwa mkopo wa 3m Kwa msimu mmoja halafu tunamalizia 27m msimu ujao atapokuja kwetu rasmi.
Kwa Chelkenge nasikia kina Miluzi walipouziwa timu walisamehewa madeni na Roman, hivyo net spend yao inawezekana ikawa siyo kubwa mpaka kuwaletea shida na ffp ukichanganya na mauzo yao ya kihuni na mikataba mirefu mno.
 
Kitu pekee kinachofanya chelsea isifuatiliwe kwenye matumizi ni kushindwa kuwa tishio uwanjan ...

Team ikishakuwa na mafanikio haters wanakuwa wengi mno na wanakuwa wanatafuta namna ya kuiangusha ..

Trust me siku Chelsea akianza kutawala hapo England kuchukha epl back to back ,team zote zikawa zinaiogopa .....hapo ndipo utakapo Anza sikia ffp kuhusu Chelsea ,toddy pesa zake alikuwa anatoa wapi , matumizi na mapato ya cheslea ...

Maana Chelsea kwa matumizi ya hio billion moja asilimia Mia ni pesa kutoka mfukon mwa toddy na sio mapato ya club , hakuna wachezaji waliuzwa hata kupata million 300 ,sijajua mauzo ya ticket na jersey , kubalance vitabu ...
 
Umeongea point kubwa. Hapo of course wanaona ila wanakausha kwanza. Wakilianzisha na Miluzi wataitwa waonevu. Wakilianzisha na Pep wataitwa watetezi (Cityzens watawaita haters)
 
Finally Jeremy doku ndani ya nyumba
Kdb alikuwa nyuma ya huh mchongo ...

Nasikia kamshawishi Sana doku kujiunga na city ,hivyo club haikutumua energy kubwa Sana ..

Sema jamaa Yuko vzuri , energy anayo ,one vs one ni hatari ....kiufupi huyu namuona Kama mane enzi zile akiwa Moto pale Liverpool ...
 
Yeah, doku yupo direct na ana pace vibaya mno, dribbling, footwork n.k

Shida kubwa niliyomuona nayo ni hayuko vizuri kwenye maamuzi ya mwisho kwenye box la timu pinzani kwa maana ya finishing na kutoa assist.

Ana miaka 21 tu so ana room ya kuimprove hasa chini ya kocha kama pep.
 
Assistanct manager Juanma lillo will take charge of the Cityzens up until after the international break as The head Coach Pep Guardiola underwent Back Surgery in Barcelona
 
Pep anaweza asiwepo touch line kwenye game na Sheffield United ..juanma na uzee wake ule ataweza kufokeana na kina haaland [emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…