MENEMENE TEKERI NA PERESI
JF-Expert Member
- Mar 11, 2022
- 5,392
- 14,646
Katikati hakuna unyumbulifu , kovacic ndio anajitahidi ...Sheffield wanaziba kati wanatuforce tupeleke mpira pembeni.
Offside mzee...Akee
Halaand kafanya nn tena pale.Penalty
Hajawa na bahati tu pale, kipa alikua kashapishana nayo.Halaand kafanya nn tena pale.
Hawa madg had ss ingebid walau tuwe tumewalamba 2.
Sema 2nd half dkk za 60 au 70 wamlete DOKS[emoji91]
Mpaka pep apige simu kumwambia Lillo [emoji3][emoji3]Hii mechi inamuhitaji Foden