The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Sheffield wanaziba kati wanatuforce tupeleke mpira pembeni.
 
Jamaa wamembana haaland ni shidaa, wanamkaba watu wawili mpaka watatu.
 
Aje aingie doku tuone cheche zake, kwa namna wanavyomlinda haaland akiingia winga anayecheza direct kama doku wanatoboka.

Kwa sasahivi tunategemea katikati ambako wameziba, pembeni hatuna mashambulizi ya moja kwa moja.
 
Back
Top Bottom