The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Mchezaji mzuri lakin kutokana na jeuri na kujiona yeye ni mkubwa kuliko club anaenda kupoteana Sasa ....


Cancelo alijisahau na kushindwa kujua Yuko pale kwa sababu ya pep ,kuanza kujiona bora zaidi na kujifanya yeye ni wa kumpangia kocha itamharibia Sana ...

Sijui hata Kama kwenye team ya taifa ameitwa kucheza euro .....


Kuanza kuvimbiana na pep kutaka kila game aanze kucheza ni ujinga ,hataki kuaamin katika rotation,mbona kina Phillips , grealish wamesugua bench Sana ,Kwanza cancelo kwa kiwango kile asingeweza kukaa bench kwa muda mrefu ,ilikuwa swala la muda tu .....

Barcelona aliyokuwa anategemea mpaka Sasa deal liko off ,buyern sijui Kama watamhitaji Tena ,naona akirudi Etihad Tena ,na pep atamuweka bench mpaka kieleweke Kama hataomba msamaha mbele ya wachezaji na board nzima ....

Bonge la LB ,bonge la winger ,lakin soon ataenda kupoteana kwenye ulimwengu wa football ....


Joae cancelo
 
Huwez bishana na Pep hata kdg maana yy ndo anajua kuliko ww.

Ndo maana uwa akifika team yoyote uwa anawauliza. Kwn humu Kuna Messi [emoji23] basi kama Hakuna Messi nyie wote mnanisikiliza mm tu[emoji23]
 
- Matheus Nunes' availability for vs Fulha

[emoji2424] Juanma Lillo: "I still don't know. I know he is a Manchester City player but I don't know if he's going to be available. Is he training? No, he still won't be training..."
 
[emoji2424] Juanma Lillo: "I speak very regularly with Pep Guardiola, not just footballing terms. He's much, much better. Things are taking place as they should do. We're all delighted, really looking forward to him getting back..."
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…