The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Huyu refa anampa yellow alvarez kwa kuupiga mpira, neto ana yellow tayari na kafanya vilevile ila kaachwa.
 
Hapa Liver apigwe na Spurs tu hamna namna. Akikaa kileleni kumshusha ni kazi.
Hii game tumepigwa Kwa counter attack ,...

Ake jamn hadi huruma Yule Neto alivyokuwa anampeleka akiwa na mpira ....gvadiol alitakiwa kuingia Ake toka kipindi cha Kwanza mpira ulimkataa kabisa ...

Dias nae aligeuka kuwa Maguire kabisa , defence yetu ilikuwa dis organised ....

Baada ya 1-1 team kama vile ilipanic Kila mtu akawa anataka kushambulia bila mipango nyuma ,sasa counter attack zikawa zinatuumbua ,Wolves wakiwa na mpira nyuma tunabaki uchi kudadeki nilikuwa nakasirika mim ...

Doku anapoteza Sana mpira mbaya Zaidi kuturn back nyuma anakuwa mgumu kummmmake anasababisha defence huku nyuma inakuwa matatizon ....

Foden Leo hakuwa kwenye form kabisa ,Goli la Kwanza kasababisha yeye na Ake ,shit kabisa,anapress MTU hakikisha hakupiti either chukua card ,piga foul ....Ake naye kafanya tacking bila kujua atawin mpira au laaah matokeo yake tukafungwa..

Pep naye anafanya gambling za kuanzisha wachezaji WA academy kama bobb kwenye game za mhimu ...


Hii game tuliichukulia poa lakin ndio hivo Wolves wametushoooooo



Liverpool apigweeeerr tu hukooo ubay ubayaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…