Kuna team hazina uzoefu CL ,ukiziangalia Namna zinavocheza unajua kabisa ,kwenye league Ni Kali lakin CL Ni habari nyingine ....
Napoli
Arsenal
Hawa wanahitaji Shule za ziada kuweza kujua Namna ya kucheza CL ....
Kwa uingereza team za kibabe kwenye CL ,ambazo huwa zinakuwa na spirit nyingine ,naziheshimu Sana hizi team maana huwa zinakuwa hatarii ...
Man city
Chelsea
Liverpool,
Hizi team hata zikitolewa CL huwa Ni kibabe kweli kweli unaona kweli team inavopambana ....
Kwa upande wa man utd sijui maana hata Enzi za farguson sikuwahi kuona walivokuwa wanachukua CL ,but Kwa sasa Naona wanazidi kuwa hoi ...