Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,361
- 21,680
Endelea kupiga ramliHapa Liver apigwe na Spurs tu hamna namna. Akikaa kileleni kumshusha ni kazi.
Losers FC
Mama Cita
Wajaa laana
Losers 😂😂[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Haya funga virago vyako nenda kaomboleze na videri wenzako huko.Losers FC
Mama Cita
Wajaa laana
Endelea kupiga ramli
Maisha yanaenda kasi sana [eemoj
Unasema??? Haya kojoa ukalale😂Haya funga virago vyako nenda kaomboleze na videri wenzako huko.
Majogoo hali ipoje hukoNyie wapumbavu hamchukui kitu safari hii
EPL ni yetu Majogoo wa Anfield
Poleni kwa kichapo
0 CL football club ...Plastic club
Kipara ana laana yule.
Game ijayo mnakutana na sisi wana london
Kazi mnayo.
0 CL football club ...
Zero Europe trophies
20years without any PL trophy...
We will teach you how football is played ...
Me nlikua namwambia mwana liverpool sa sjui unamaanisha nini hapa.Unasema??? Haya kojoa ukalale😂
DuhMe nlikua namwambia mwana liverpool sa sjui unamaanisha nini hapa.
Hatacheza atakua bado anatumikia adhabu.Jamani hivi kwenye mchezo wa ligi kuu EPL Arsenal v man city juma pili Rodri atacheza au bado atakua anaitumikia kadi yake nyekundu?