The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Stone karudi ,game na Leipzig anaweza kuanza .....

Hata game ya Arsenal namuona akicheza ..
 
Kuna team hazina uzoefu CL ,ukiziangalia Namna zinavocheza unajua kabisa ,kwenye league Ni Kali lakin CL Ni habari nyingine ....

Napoli
Arsenal

Hawa wanahitaji Shule za ziada kuweza kujua Namna ya kucheza CL ....

Kwa uingereza team za kibabe kwenye CL ,ambazo huwa zinakuwa na spirit nyingine ,naziheshimu Sana hizi team maana huwa zinakuwa hatarii ...
Man city
Chelsea
Liverpool,
Hizi team hata zikitolewa CL huwa Ni kibabe kweli kweli unaona kweli team inavopambana ....

Kwa upande wa man utd sijui maana hata Enzi za farguson sikuwahi kuona walivokuwa wanachukua CL ,but Kwa sasa Naona wanazidi kuwa hoi ...
 
Doku Naona kaanza bench ...

Grealish anakismart na CL pep hawezi kumuacha ...

Nilitegemea stone kuanza lakin Naona Lewis kaanza ,kucheza nafasi yake ...

Kikosi kimetulia ,Hawa wajerumani lazima waache point 3....
 
Nafasi ya Grealish iko matatatani ,doku anazidi kuonesha vingi vya tofauti ...

Sub za doku na Alvarez zimeleta impact kubwa mno ....
 
Saizii bila Alvarez game zetu Ni ngumu mnoo ...

Walivosawazisha tu team ilikosa balance na ubunifu ,kina Grealish walikuwa Ni dribbling ambazo hazina impact ....mpaka pale the Argentina boy Alvarez alivoingia [emoji170]
 
[emoji837][emoji1033] December 2021, Manchester…

The agent of River Plate talented striker Julián Álvarez arrives in England to meet with Manchester United.

There’s €17m clause available to trigger plus taxes — but Man United decide against that signing.

Despite letting Martial leave on loan to Sevilla, Álvarez was not considered the right investment for the club.

[emoji838] Three weeks later, Man City decide to trigger the clause but letting Julián stay at River until July ‘22.

[emoji2764][emoji2765] …and the rest is history. €17m fee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…