The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Leo tunataka wote wakina saka na matineli sijui nani wawepo.
Ili wakose sababu kabisa.
Arsenal amepata matokea kwa shida sana miaka yote.
Hao wala hawawez kuwaokoa.

Lewis na benardo pale kati
Mbele halland, Alvarez,
Pemben foden na doku ata akiingia kipind cha pili
 
Huyu Allison na kukaa na mpira Zaidi ya second 5 ,Yale Yale ya ederson ...
 
Kama vip zincheko arudi tu home Naona washaanza kumzingua zincheko wanataka kumfanya kama walichomfanya Ozil ,....Arsenal itaendelea kuwa club iliyolaaniwa [emoji23]
 
Kama vip zincheko arudi tu home Naona washaanza kumzingua zincheko wanataka kumfanya kama walichomfanya Ozil ,....Arsenal itaendelea kuwa club iliyolaaniwa [emoji23]
Zincheko namkubal sana
Nakumbuka uchezaji wake wa city pale alkuwa hakai na mpira
Wala hagusi mpira mara mbil
Ni kutuliza na kutoa moja
Na pengo lake naliona kiasi flani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…