goswe
JF-Expert Member
- Apr 28, 2018
- 4,432
- 5,036
Na tuliwaacha waende bila kuteterekaSisi Hatuna wachezaji WA hovyo ...
Palmer ,sterling ,zincheko ,Jesus ,wote Hao Ni wachezaji wanaosaidia team zao popote wanapoenda ...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na tuliwaacha waende bila kuteterekaSisi Hatuna wachezaji WA hovyo ...
Palmer ,sterling ,zincheko ,Jesus ,wote Hao Ni wachezaji wanaosaidia team zao popote wanapoenda ...
Nimeona account yake ya IG kaweka private.Kama vip zincheko arudi tu home Naona washaanza kumzingua zincheko wanataka kumfanya kama walichomfanya Ozil ,....Arsenal itaendelea kuwa club iliyolaaniwa [emoji23]
Doku angeanza ule upande wa kushoto angesumbua jamaa yupo kwenye form bora.Doku ni super sub
Yule kucheza dakika 90 ngumu kdgDoku angeanza ule upande wa kushoto angesumbua jamaa yupo kwenye form bora.
Zincheko namkubal sanaKama vip zincheko arudi tu home Naona washaanza kumzingua zincheko wanataka kumfanya kama walichomfanya Ozil ,....Arsenal itaendelea kuwa club iliyolaaniwa [emoji23]