Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,361
- 21,680
Sio defence mechanism,unajua watu wanaanza kuongea sijui Derby,Mara united Ni bigger ,Mara sijui hapa na pale ...the solution is calm ,splash splash ,play football and focus ....hi game sio hata final[emoji23]....Umeanza defensive mechanism mapeeema [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kweli united lazima akaze, ndo mambo yake hayo, sehemu kama hizi ndo unamwona alafu anarudi kwenye mediocrity yake ya kawaida.Sio defence mechanism,unajua watu wanaanza kuongea sijui Derby,Mara united Ni bigger ,Mara sijui hapa na pale ...the solution is calm ,splash splash ,play football and focus ....hi game sio hata final[emoji23]....
Pep anawambia wachezaji " you have the right to lose ,just play football"
Ukiwa Madrid au Barcelona ndio njia za kuwin balloon d'or ,Mara nyingi kule promo zinakuwa nyingi Sana ....ndio maana hazard alienda kule akiwa na lengo Hilo japo alipoteana....Haaland inabidi aanze kutupia kama kichaa sasa pamoja na mwenzake Mbappe.
Bellingham ashaona gape la Ballon d'or lipo wazi anatembea nalo utashangaa anachukua mwakani.
Nimeona Pep kaanza na formation ya TREBLE ya last season 3241 Leo mtu anakula mkono😂Doku bench [emoji170]View attachment 2797064
Huyu mtu ninachomkubali ni mwepesi kurudi kukabaGrealish back pass merchant Naona kaanza kimkakati ...
Soma ubao Mzee[emoji23][emoji23]Penalty ya UONGO
Sijapata ona Man C mbovu kama hii