Kocha wako mda mwengine anajifanya mjuaji sana bench ana viungo kama Phillips,kovacic na Nunez lakini bado hawapi nafasi unacheza mabeki ndo viungoSisi Ni unpredictable kama mnaona city imekuwa mbovu Ni sawa ,lakin as long as hii Ni December hata January bado tutaendelea kuwachachafya pale juu ....
Saizi tunamashindano mengi ,club world cup tunacheza mwezi huu ...
Mbaya Zaidi team inamtegemea rodri ,Bila rodri tumeshindwa kabisa cha kufanya ...
But this team is still alive ,
😂😂😂😂Nani anaweza kulicheza sagarumbaa
Mimi Ninaweza kulicheza sagarumbaa
Nauliza naniii
Nasema Mimi
Mafuta ya taaa mafuta ya taa mafuta ya taaaaaaa
Yamemwagika yamemwagikaaaaa
Mpaka chinii mpaka chini paka chiniiii
Piga man shity hao piga nacheka saaaaaana hahaha hahahaGame week 15 out of 38 ....hii league bado mbichi January itaamua ...
Haisaidii,kikubwa ni kwamba wahuni wameshamjulia Guardiola,wanagonga kwenye mshono palepale *****Jurgen Klopp: "If somebody would write #ManCity off [in the #PremierLeague title race], that would be the biggest joke in the history of football..." [via Sky Sports]
Mkuu yaani hapa tegemeo letu Ni kdb arudi Katikati pawe na balance nzuri ...Sio shabiki wa Man City ila hawa jamaa kuwaondoa kwenye mbio za ubingwa kwa tofauti ya point sita tu ni masihara.
Point sita ni kama mechi mbili tu ukipoteana hawa hapa, wamefika.
Mwaka jana tuliwaacha hadi point saba tena mzunguko wa pili. Ila kilichotokea basi tu.
Hakuna cha double pivot,wahuni wameshawajulia,ni sawa na demu tu ukishajua pa kumshika ili akojoe dakika 0 tu hutumii nguvu,ndio sawa na nyie makocha wameshawajulia pa kuwashika,hamtishi kihivyo sasa hiviMkuu yaani hapa tegemeo letu Ni kdb arudi Katikati pawe na balance nzuri ...
Kdb kashaorodheshwa kwenye kikosi kitakachocheza CWC ,japo sijajua kama Yuko fit ...
Rodri na stone wakirudi Kati kucheza double pivot ,kdb akarudi ,Haaland atapata chance nyingi Sana ...doku pembeni ,Foden pembeni ....lazima turudi kupigania ubingwa
Arteta hawaachi msimu Huu[emoji23]
kwa kuwa Villa kakugonga kwenye mshono juzi unafikiri na Gunners atatuweza??nyie janja yenu imeshajulikana hamna jipya sasa hivi,na hata kwa Luton weekend hii mkijitahidi sana ni sareNampiga Dec 23 kama mtoto
Hamna team mle,hata kwa Villa hatoki
Utapata ajira ya ujuaji wa uchambuziPEP YA MAN CITY[emoji20] [emoji20]Mashabiki hawana kelele kama kocha ana pata matokeo hata kama kuna makosa ana yafanya [emoji1614][emoji460] Ebu mie nifunguke sasa Pep ya Manchester City game 5 za mwisho haija shinda game hata moja [emoji457][emoji457] hata game zilizo pita alishinda lakini quality si ile tena tunayo ijua🪓🪓 Kakosea wapi au ni matokeo tu ? [emoji441]au ndiyo hakuna marefu yasiyo na ncha ? [emoji185][emoji2788][emoji2788] Ki taalam Pep kafanya makosa makubwa wengi hawwoni kama ni makosa kwa sababu eti ni "mtalaam" alimuondoa Cancelo aliye kuwa key player wa magoli japo ni beki na pia alisaidia sana kiungo cha kukaba akiingia ndani kidogo kwa kuibia !! Kama haitoshi akamuachia Mahrez simple tu , huyu Mwarabu mwafrica alijua ju fanya high pressing na pia alijua goli liko wapi kazi ambayo Glealish haja fanya hata robo sukari, Twende kwa Gundogan ntaalam wa pass ling ball na short balls ana kupiga muhimu Pep Kipara kamuachia easy tu eti Rodri ana tosha , Rodri ni mzuri kwa pass za kawaida siyo "mpenyezo" nyie mnanita asisst [emoji102][emoji102] Man City ime poromoka hakuna anaye igusa kisa Pep kafanikiwa ku dominate EPL misimu 7 Ndoo 5 nani kama yeye , [emoji1609][emoji1609] , Mie peke yangu Steve Chitalu ni jitia sadaka kwa kandia hii 🪓🪓 kama "Mbwai iwe Mbwai" Adios Amigos , tukutane saa 1[emoji1609][emoji169][emoji172]
Jini kama jiniMkuu yaani hapa tegemeo letu Ni kdb arudi Katikati pawe na balance nzuri ...
Kdb kashaorodheshwa kwenye kikosi kitakachocheza CWC ,japo sijajua kama Yuko fit ...
Rodri na stone wakirudi Kati kucheza double pivot ,kdb akarudi ,Haaland atapata chance nyingi Sana ...doku pembeni ,Foden pembeni ....lazima turudi kupigania ubingwa