The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Kuondoka Kwa cancelo sioni kama Ni tatizo ,sababu alikuwa anataka kuwa mkubwa kuzid club ,hauwezi kuwa unataka kuanza kucheza wakati kuna walio Bora Zaidi ....

Cancelo alichomesha Goli pale Anfield Kwa kumuacha Salah kirahisi kabisa ,tukadondosha point 3 ,toka pale pep alianza kuwa anamweka bench atulize Akili ,cancelo alikuwa akipanda kushambulia hawezi Kurudi ,hivyo basi nyuma tukawa tunazidiwa tukipigwa counter attack ...pep alibadili mfumo ......

Stone akaanza kuingia Kati kucheza na rodri double pivot ,hapo ndipo cancelo alipopoteana maana yeye alishazoea kupanda kushambulia ....


Ake ---dias --akanji

Stone --rodri

Huu ndio mfumo uliompoteza cancelo city ,Kwa huo mfumo Ake au akanji hawezi kuwa anapanda mbele akashindwa Kurudi nyuma tukawa Salama ...lazima tupigwe ....


Kuhusu gundo ,umri na mkataba aliokuwa anataka Ni kikwazo ,.... mahrez aliamua kuondoka maana Aliona hapati muda WA kucheza Sana .....falsafa ya pep Ni kuwa kama mchezaji anataka kuondoka Hakuna WA kumzuia ,maana yake Hana furaha ,so Yupo free kuondoka ....


Tumetoka kuwin mataji makubwa matatu ,team lazima iyumbe tu na ndio mpira ulivo ,haya Mapito Ni ya kawaida kabisa kwenye football ....

Saizi tunawachezaji wazuri tu ,Ni swala la kurekebisha kidogo na umakini kuwepo ,lakin bado tuko vzuri ....
 
Anakuelewa mkuu
 
[emoji838] Pep Guardiola: “We don’t rush Kevin de Bruyne’s return. We wait for him, of course”.

“He started to run on the pitch yes, but hasn’t trained once with us. Maybe the Club World Cup will be a little bit early, but I don’t know…”.
 
Mapenzi ya team ,huwez ona makocha wengine wapo hiviii...pep Ni real citizen
Nauliza nani anaweza kulicheza sagarumba
Mimi ninaweza kulicheza sagarumba

Tuonyeshe mauno
Haya hapaa
 

Attachments

  • 1702105947174.jpg
    69.4 KB · Views: 3
Uchambuzi mrefu ,chukua hii CITY kapoteza mechi ambazo Rodri alikuwa suspended hakuna team imeweza so far kuifunga city RODRI akiwa ndani
 
Hodi humu[emoji1787]baneni pumbu mtoe hata Draw,watoto sio wa kuwachukulia poa hawa mjue
 
Bila Haaland bado ufungaji Ni hafifu ....

Kovacic kuna muda anazingua ,Leo kapoteza mpira Luton wakachukua mpaka kufunga ...

Alavrez kashasahau kucheza kama striker ..


Rodri na kadi za njano Ni Pete na kidole ..

Najua tupo vibaya ,tuzidi kujitafuta kabla ya CL knock out stage maana hii Hali ingetukuta February ingekuwa mbaya Zaidi ....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…